Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Vivulana hivi viko na issues daily why don't you commit suicide please?
 
Pole na misukosuko ya dunia, 'the idle mind is the work of devil' jitahidi kushughulisha akili yako na mambo mengine yenye tija ktk maisha yako, jitahidi usijitenge na ibada/neno la Mungu maana kwayo twapata chakula cha rohoni.
 
Pole sana tafuta kanisa uungame najua mungu atakuachilia neema yake uishi kwa aman
 
Ushauri ni ongeza speed..... Wengine hapa wapo kama ww hawasemi. Kuna jamaa angu kila akienda mkoa ni lazima Alale juu ya mwili. Wewe faid mema ya uumbaji. Kula changudoa Lakin hakikisha unaacha pesa ya sanda, jeneza na kukodi watu wa kulia.

 
Back
Top Bottom