Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Naongezea hapo mkuu...

Kuna Mambo Hapa Duniani ni ngumu kuyaacha bila kumshirikisha Mungu..
Kama hilo lako mkuu..

Swali la kizushi,, wewe ni dini gani?
Je unaendaga kanisani au msikitini...?

Huwezi kuacha bila kumshirikisha mungu, onana na viongozi wa dini... Watakusaidia...
Nitawaona mkuu, je niwaeleze mkasa wote au tu niende kama muumini?
 
That's a psychological problem. Badilisha routine ya maisha yako anza kupenda kutumia muda mwingi na familia, kama mkristo au muislam jiweke karibu na Mungu, pia fikiri jinsi ndoto zako zitakavyoingia dosari iwapo utapata maambukizi kizembe hivyo!
 
Hii ndio wanaiita OD'd addiction. Cha muhimu umeshagundua ni tatizo. Tafuta msaada wa kitabibu, + kama una imani na mambo ya kidini, ongezea. Kila la kheri.
 
Ndio maana nilitangulia kusema kama "inawezekana". Lakini pia nilikukumbusha kuwa inategemea mke wako ni open minded kwa kiasi gani. Nimezingatia pia kuwa hili tatizo ulikuwa nalo hata kabla ya kumuoa. Utamueleza kuwa huko nyuma ulidhani labda ulishindwa kuachana na hiyo tabia kwasababu ulifikiri ni kwasababu hukuwa na mpenzi wa ndoto zako na kwamba baada ya kumpata yeye ambaye ni sahihi kabisa kwako ulijua ushapata dawa. Wewe ndio unayemjua vizuri mke wako.

Ushauri mwingine ni kwamba, nenda kawaone watu wa saikolojia ukapate ushauri nasaha. Kama utaweza kumueleza mkeo basi itafaa sana mngeenda wote maana atapewa pia mbinu za kukusaidia kuondokana na hiyo hali. Huo ni ugonjwa mkuu!!
Mungu ameziona jitihada zako kwangu na natia nia kuachana na tabia hii kupitia ushauri
 
That's a psychological problem. Badilisha routine ya maisha yako anza kupenda kutumia muda mwingi na familia, kama mkristo au muislam jiweke karibu na Mungu, pia fikiri jinsi ndoto zako zitakavyoingia dosari iwapo utapata maambukizi kizembe hivyo!
Umeongeza kitu kikubwa katika akili yangu, akhsante mkuu
 
Negongo Mtu mzito kila jambo unapotaka kuacha au kuanza ni maamuzi ya ndani yanahusika .Mwili ni kasha tuu ambalo unaamua upeleke wapi na ufanyishe nini mwili wako .Kwakuwa uzinzi ni dhambi iliyo juu ya miili yetu basi ni wakati wa kumkana ibilisi na mambo yake yote pasipo kujali wewe ni mtu wa imani ipi .Kuwa karibu na Mungu wako omba mara kwa mara kwa kumaanisha ikiwezekana funga kabisa mwambie ibilisi amekutumia mara nyingi kama mfuasi wake sasa umechoka unataka kuwa huru na unataka kuacha, kataa kwa kumaanisha hiyo roho na tamaa
Mshirikishe mtu wako wako wa karibu kama wewe Mtu mzito mkeo anajua tabia yako ni wakati wa kumwambia kwa kinywa chako kiri mwambie unajambo unataka kumshirikisha . mwambie umekuwa unatabia mbaya ya kutamani wanawake wengine umechoka na unataka kuacha unahitaji msaada wa maombi yake na hii itakusaidia wewe kujisikia mkosaji na kujuta kila utakapokuwa unataka kutenda hayo lakini la msingi MAOMBI ,MAOMBI ni muhimu mnoo
 
Hatua ya kwanza amua kwa dhati kabisa toka moyoni kwamba unataka kuacha. Halafu anza kuutumia muda wako kazini, nyumbani na sehemu za ibada. Ukiwa "ido" mara nyingi mawazo ya kwenda kufanya vitu kama yanakuja.
 
Matatizo hayachagui muda mkuu
Waweza kujitoa kwenye mitandao ambayo inakufanya uwapate wanawake kirahisi kama twoo,badoo na mingine ambayo kiuhalisia haufaidiki nayo kwa namna yoyote ile zaidi ya kukuunganisha na wanawake ,Weka nadhiri weka kiapo jisimamie mwenyewe tamani kuwa baba bora baba mzuri baba ambaye kila mtoto atakuwa proudly kuwa wewe ni mzazi wake hata pale mambo yako unayoyafanya gizani yakiwekwa hadharani ,Tamani kuwa mwanaume bora ,mkeo aone yeye ni mwenye bahati kuwa na mwanaume kama wewe usimfanye aone aibu na kujiona mwenye mkosi na mtu ambaye Mungu anamuadhibu kwakumpa ubavu wewe (mwanaume kama wewe)
 
Hakika umenipa ushauri mzito sana na nakushukuru mno, ila kumshirikisha nisije nikakosa mwana na maji ya moto
 
Hatua ya kwanza amua kwa dhati kabisa toka moyoni kwamba unataka kuacha. Halafu anza kuutumia muda wako kazini, nyumbani na sehemu za ibada. Ukiwa "ido" mara nyingi mawazo ya kwenda kufanya vitu kama yanakuja.
Akhsante sana mkuu maana ni mateso haya
 
Waweza kujitoa kwenye mitandao ambayo inakufanya uwapate wanawake kirahisi kama twoo,badoo na mingine ambayo kiuhalisia haufaidiki nayo kwa namna yoyote ile zaidi ya kukuunganisha na wanawake ,Weka nadhiri weka kiapo jisimamie mwenyewe tamani kuwa baba bora baba mzuri baba ambaye kila mtoto atakuwa proudly kuwa wewe ni mzazi wake hata pale mambo yako unayoyafanya gizani yakiwekwa hadharani ,Tamani kuwa mwanaume bora ,mkeo aone yeye ni mwenye bahati kuwa na mwanaume kama wewe usimfanye aone aibu na kujiona mwenye mkosi na mtu ambaye Mungu anamuadhibu kwakumpa ubavu wewe (mwanaume kama wewe)
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu, yaani nisipopata nachanganyikiwa na kuanza kusachi namba hovyo katika simu.
Ila naamini nitabadilika na kuwa mume bora
 
Hakika umenipa ushauri mzito sana na nakushukuru mno, ila kumshirikisha nisije nikakosa mwana na maji ya moto
Umeshasema unahisi anajua anakuvumilia tuu
Sasa ni vyema mpe pesa mwambie akanunue nguo nzuri unataka kutoka nae jioni , tafuta sehemu nzuri iliyotulia mwambia you need to confess hii ni hatua ya kwanza ya kumwaibisha ibili na ataona umeamua ,Mwambie unampenda wewe ni mwanaume una madhaifu yako lakini umechoka hutaki udhaifu huo ukucontrol maisha yako jitahidi kumweleza ni jinsi gani upo proiud yeye kuwa mkeo mwambie hutaki kumpoteza mwambie kiri kwa kinywa chako kuwa umechoka kusleep around unataka utulie uwe baba bora na mume bora , hawezi kukasirika hata akikasirika atatulia kama ana akili na busara maana umejieleza mwenyewe . mwambie unaomba msaada wake wa maombi ,
Mwambie ambavyo unatamani yeye awe muda wote maana kuna kitu pia nje kinakuvutia toka kwa hao wanawake , mwambie vile amabvyo unatamani akutreat, Anza maisha upya kwa kumaanisha Mungu atakusaidia kakangu
 
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu, yaani nisipopata nachanganyikiwa na kuanza kusachi namba hovyo katika simu.
Ila naamini nitabadilika na kuwa mume bora
weka mikakati husisha watu wa imani ,husisha marafiki zako ambao wapo positive hawaafikiani na tabia zako futa namba za hao wanawake na chicks wote akikupigia pata ujasiri toa ujasiri toka ndani ya moyo wako waambie huwahitaji tena be straight be a man unaweza unaweza kabisa
Ongea na nafsi yako jinee kushinda hakika unaweza
 
Back
Top Bottom