Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Sikutusi wala kukudhihaki maana kila mtu ana aina ya ulevi wake, sikunyooshei kidole maana vidole vingine vitakua vinaniangalia mimi.........muhimu weka nia ya dhati na pia kujiepusha na vishawishi
 
Hadi humu umepitia Mkuu,kaonane na psychologist kwanza,ukitoka kafanye toba,ukimaliza ufanyiwe maombi mazito na uwe na imani kwamba utaweza kuacha....ikishindikana Mkuu endelea kutumia ndom tu hakuna namna
 
Salaam ndugu zangu,

Nimeficha ficha haya mambo ila najiona kabisa naangamia hivyo ni bora leo niombe ushauri maana hapa pana watu wazima, wanasaikolojia na viongozi wa dini.

Mkasa wangu ni wa hakika na bado nipo katika mateso hata sasa.

Wakati nipo balehe nilikutana na wasichana mbali mbali waliouteka moyo wangu na nikawaeleza hisia zangu, kwa bahati mbaya nilijibiwa karaha na kutoswa sababu ya maisha yangu ya dhiki.
Hali ilikwenda hivyo kwa muda mrefu mpaka moyo wangu ukajenga chuki na wanawake, niliwaona hawana usawa na sio wa kuwa nao karibu.

Katika utafutaji wangu wa maisha ghafla mambo yakabadilika na nikawa nina pesa na kuishi vizuri na nikaanza kujenga nyumba na pia nikawa na miradi pamoja na gari ya kutembelea.

Ni hapo ndipo wasichana wakaanza kuwa karibu na mimi na kunihitaji kimapenzi, na mimi nilishajenga chuki moyoni na nikapanga kuwakomoa, nikajikuta natembea na wanawake wengi tofauti kuanzia wanafunzi, walimu, wasichana tu wa mtaani, machangudoa na wapenzi wa watu.

Nikajikuta dhaifu mbele ya wanawake yaani siwezi kulala hata siku moja peke yangu bila mwanamke na pia mda mwingine nilifanya mapenzi na wasichana wawili tofauti kwa siku moja, haswa kama huyo wa pili aliyenitafuta ni mzuri sana.

Haya mambo sipangi bali najikuta tu inatokea na kila nikimaliza najuta na kusema ndio mara ya mwisho ila punde tu naingia katika vishawishi tena, nilioa mke safi kabisa ili niepuke hali hii ila tuliachana baada ya kunifumania mara kadhaa.

Sasa nina mke mwengine na safari hii nimeoa mke wa ndoto yangu mtoto mzuri sana shombe shombe kiasi kwamba marafiki wanasema kweli mwamba umepata kifaa.

Ila bado ninajikuta natembea na rafiki zake pia wasichana wa mtandaoni kama vile Jf, Badoo, Fb nk na pia nimekuwa maarufu madanguro mengi sana mpaka naona noma.

Mara kadhaa nasafirisha mademu wakali toka mikoa tofauti na kunifuata mimi, sihongi sana na wala sijatetereka ki uchumi na wala sijaathirika ila tu najiuliza nini kipo nyuma ya nguvu hii inayonishinda kujizuia?

Kilichonifanya nijione naingia katika hatari ni kwamba, juzi kushinda jana nilikwenda guest na msichana fulani nilikutana nae juu juu tu, tukafanya mapenzi na tulipomaliza wakati tunatoka kuna jitu la miraba minne lilikuwa likituangalia sana na yule msichana akashtuka sana.

Baadae nilipomuuliza akasema yule jamaa anafanya kazi na mume wake ni FFU kitengo cha doria.

Hakika nikaona hiki ni kifo cha wazi sasa na nimefikia pabaya, haya mambo sipangi ila imekuwa kama ulevi na siwezi kuacha.

Naombeni ushauri wa kunijenga wadau
Mungu akubariki sana kwa kujitambua hauko sawa na kwamba kuna nguvu nyuma yako ofcourse ni kweli kila kitu ambacho mwanadamu anatenza to the extreme the devil is behind it but ashukuriwe Mungu aliekufungua huo ufahamu atleast ukashtuka na kutafuta msaada my only advice unahitaji kukombolewa na uwe huru hivyo basi kawaone wanamaombi wa upande wako atleast wakuombee the jaribu kua karibu na watu wanaomcha mungu atleast wakuombee na kukushauri mara kwa mara Mungu ni mwaminifu atakuweka huru kama tu umemaanisha .Pia jaribu kukata mawasiliano na wanawake wote ktk mitandao or wanaokutia ktk vishawishi na geuka uipende familia yako.Mungu anakupenda na angependa umrudie dhambi huzaa mauti amka chukua hatua sema inatosha start a new life and God will help you and never give up.Kumbuka shetani ni mjanja hatakuacha umfate muumba wako bado atakufuta lakini ukimaanisha kumwomba Mungu na kusoma neno lake atakushindwa.Mungu awe nawe.
 
ff

ffu kingo cha dori?
 
Hadi humu umepitia Mkuu,kaonane na psychologist kwanza,ukitoka kafanye toba,ukimaliza ufanyiwe maombi mazito na uwe na imani kwamba utaweza kuacha....ikishindikana Mkuu endelea kutumia ndom tu hakuna namna
Umemshauri vizuri mwanzo lakini why unamkatisha tamaa kwamba hataweza wangapi wameweza only ur effort ya kumwomba Mungu itakuponya usikubali kufia dhambini Mkumbuke muumba wako kabla siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya kwako usijefia gest such a shameful death on earth na sijui utamwambia nini Mungu wako mana alikataza zinaa na uasherati,Just stand up u can.
 
hakuna kinachoshindikana ukisema bas kweli bas.tafuta muda kaa chini fumba macho jitafakari maisha yako kuanzia nyuma mpaka hapo ulipo,kisha fikiria kwa mfano mungu akinichukua nitakua na hali gani?ndugu yangu wanaume wote tunataman sana na hata wanawake wapi na hiyo ni tabia ya nafsi kutamani vizuri lakini hupaswi kufuata kila inachokushawishi.
 
Mkuu umeniongezea kitu kikubwa sana kichwani mwangu, akhsante kwa ushauri murua
 
Mungu akubariki sana kwa kujitambua hauko sawa na kwamba kuna nguvu nyuma yako ofcourse ni kweli kila kitu ambacho mwanadamu anatenza to the extreme the devil is behind it but ashukuriwe Mungu aliekufungua huo ufahamu atleast ukashtuka na kutafuta msaada my only advice unahitaji kukombolewa na uwe huru hivyo basi kawaone wanamaombi wa upande wako atleast wakuombee the jaribu kua karibu na watu wanaomcha mungu atleast wakuombee na kukushauri mara kwa mara Mungu ni mwaminifu atakuweka huru kama tu umemaanisha .Pia jaribu kukata mawasiliano na wanawake wote ktk mitandao or wanaokutia ktk vishawishi na geuka uipende familia yako.Mungu anakupenda na angependa umrudie dhambi huzaa mauti amka chukua hatua sema inatosha start a new life and God will help you and never give up.Kumbuka shetani ni mjanja hatakuacha umfate muumba wako bado atakufuta lakini ukimaanisha kumwomba Mungu na kusoma neno lake atakushindwa.Mungu awe nawe.
Mkuu umeandika ujumbe mzito sana na nakushukuru mno
 
Hadi humu umepitia Mkuu,kaonane na psychologist kwanza,ukitoka kafanye toba,ukimaliza ufanyiwe maombi mazito na uwe na imani kwamba utaweza kuacha....ikishindikana Mkuu endelea kutumia ndom tu hakuna namna
Nakushukuru sana kwa ushauri kwani lengo langu ni kuacha
 
Sikutusi wala kukudhihaki maana kila mtu ana aina ya ulevi wake, sikunyooshei kidole maana vidole vingine vitakua vinaniangalia mimi.........muhimu weka nia ya dhati na pia kujiepusha na vishawishi
Ni kweli mkuu kwani kila mtu ana yake na pengine mazito kuliko haya, ila binadamu tunatofautiana.....
 
Back
Top Bottom