Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nimekuwa mtumwa wa wanawake

Nadhani unajiendekeza sana au unauendekeza moyo wako au hujui nini unataka, kumbuka kua wewe mwanamme na kuna age flani mwanamme akifika anatakia ajiheshimu kama mwanamme, sasa muombe sana mungu akuepushe na balaa hilo kwani sio sifa bali asara tena majuto yake hua mabaya unaweza kujuta maisha yako,jitambue kabla hujatambuliwa..
Nakushukuru sana kwa kuongeza kitu kichwani mwangu, nimeshaanza kufanyia kazi baadhi ya ushauri na nazidi kupokea mawazo mapya pia
 
DU eti ya Kilokele unampeleka kwenye kuchanganyikiwa kwingine! DOGO HAPO ULIPO IMESHAJITAMBUA UAMBUE MOYO WAKO SASA NAACHA,IKUMBUKE IMANI YAKO SIMAMA HAPO ...NA UKIZINGATIA KUWA HATA CONDOM SIO KINGA YA ASILIMIA 100!
Ndugu sijui wewe dini gani, pia Mimi sio Mchungaji. Ila kuna hili jina huwa wanalitaja wanasema YESU.

Hili jina ukiliita na kusema YESU NISAIDIE NIACHE HIKI KITU nauhakika utaacha. Baada ya hapo chukua initiative za kuwatafta viongozi wa makanisa ya kilokole kwa mfano TAG, EAGT, CAG, PAG hayo hayana longo longo. Usiende yale ya miujiza unless Mungu akuongoze uingie huko kuomba msaada.

Ukitaka kuacha Fanya hili Mkuu.
 
DU eti ya Kilokele unampeleka kwenye kuchanganyikiwa kwingine! DOGO HAPO ULIPO IMESHAJITAMBUA UAMBUE MOYO WAKO SASA NAACHA,IKUMBUKE IMANI YAKO SIMAMA HAPO ...NA UKIZINGATIA KUWA HATA CONDOM SIO KINGA YA ASILIMIA 100!
Japokuwa siyo dogo.....ila napokea ushauri wako murua na nitaufanyia kazi
 
Control hisia zako 2 ndo njia pekee
Au ujitaidi kumpenda mkeo sana utokuwa na hamu tena ya wanawake we nje
Pili uachane na wajane coz utaiacha iliyo familia yako
Tatu achana na wake za wa2 coz mke wa m2 ni kitanzi umejiwekea shingoni muda wowote chaweza kaza
 
Control hisia zako 2 ndo njia pekee
Au ujitaidi kumpenda mkeo sana utokuwa na hamu tena ya wanawake we nje
Pili uachane na wajane coz utaiacha iliyo familia yako
Tatu achana na wake za wa2 coz mke wa m2 ni kitanzi umejiwekea shingoni muda wowote chaweza kaza
Akhsante mkuu kwa ushauri mzito, nipo katika kutendea kazi ushauri wenu ili na mimi niwe mtu katika watu
 
Kwa kweli nimefurahi sana kusikia matatizo uliyonayo kwani hata mie nina tatizo hilo hilo.
Ki umri nina miaka 56 nina watoto na wajukuu, tatizo langu pia ni kuwa kila mara nimekuwa nikiwazia wanawake tu, kiukweli nawatamani sana hasa wanawake wenye matako makubwa na walio weupe.
Niko radhi kumfuatilia hadi nimpate, bahati nzuli ni wanawake wachache sana huwa wananikataa.
Ndugu zangu nami naomba mnisaidie mawazo nifanyeje ili niachane na kuwatamani wanawake maana umri umeisha kwenda lakini pepo wa kina mama haunitoki!!!
We huitaji sana ushauri subiri hiyo pension iishe ndo utjua kma wana makalio madgo au makbwa
 
Hii inaitwa kujiendekeza, naona ajabu hata shetani hujamsingizia pia,
Katika dunia hii ukitaka Kila kitu kisikupite basi ndio chanzo kikubwa cha kumuasi mungu,
Kuna kipindi nilitaka kukaribia rekodi zako kwa mbali, Lakini niliwahi kustuka, hatua nilizofanya Kwanza siendi sehemu yyte ambayo itanikutanisha na wanawake hovyo, nilifuta social media zote situmii, fb, insta, badoo, na nyingine nyingi zinazoleta sababu ya kuchat na wanawake hovyo,
Pia nilipoowa nikaamua kuridhika na mke wangu tu,
Kwa sasa nina miaka mingi sana nimeweza kucontrol hali hiyo,
Kingine lazima ujenge tabia ya kuwahi kurudi home, usigawe namba yako hovyo, jitahidi sehem nyingi ukitoka kwenda kwenye starehe beba mkeo muende wote,
Jiwekee ahadi ya kutokulala nje hata kama ukichelewa kurudi home Lakini rudi tu na ulale home, kama utakuwa mji wako,
Ondoa kabisa list ya marafiki wenye akili kama ulizonazo sasa,
Sawa mkuu, wife nikimshirikisha hataniona muhuni kweli?
Sawa mkuu, wife nikimshirikisha hataniona muhuni kweli?

unafikiri hajui au
 
Back
Top Bottom