YANI KIMBIA SAA UJIEPUSHE NA MAZINGIRA HATARISHI YA KUGEGEDANA...JITAHIDI USIPOKEE SIMU ZA MADEMU HAO..USIWATAFUTE PIA....JITAHIDI UKAE KARIBU NA WIFE NA UMUONE KAMA MPYA YANI KAMA VILE UMEBADILISHA MWANANMKE KUMBE NI WIFE HUYO HUYO.......Akhsante mkuu, hivyo nitumie njia gani kujinasua na pepo hili?
Naam nashukuru sana kwa ushauri wako, nimeshaanza kuchukua hatuaYANI KIMBIA SAA UJIEPUSHE NA MAZINGIRA HATARISHI YA KUGEGEDANA...JITAHIDI USIPOKEE SIMU ZA MADEMU HAO..USIWATAFUTE PIA....JITAHIDI UKAE KARIBU NA WIFE NA UMUONE KAMA MPYA YANI KAMA VILE UMEBADILISHA MWANANMKE KUMBE NI WIFE HUYO HUYO.......
AHAHAHAH-78*$&hukua maji tia kwenye ungo...simamam mlango wa chooni kunywa yote yaishe halafu kumbuka underware zako zikichakaa unazipelekaga wapi?????
Akhsante mkuu kwa ushauri wako na nitautendea kaziMkuu pole sana fanya mpango muda mwingi uwe karibu na familia yako (mtoto na mke) pia punguza matumizi ya mitandao kama Badoo, JF, Eskimi, Tagged, Hi n.k kama upo kama ni app uninstall kabisaaaaa futa account zote........baada ya hapo sahahu hayo ya nyuma songa mbele
Jina lako linahusikaDah.. simple sana hii. Haihitaji ushauri wala saikolojia yoyote. Changanya matone wawili ya mafuta ya taa ndani ya glasi moja ya maji na kunywa asubuhi kila baada ya siku moja. Wiki moja tu unaanza kuicontrol game badala ya game kukucontrol wewe😎