Ukiona mtu anakwambia 'sio watu wote wanakupenda, ujue na yeye ana vichuki fulani hivi ambavyo anajitahidi kuvificha'
Mimi nimeachana na watu wengi sana walionitamkia hayo maneno.
Sijasomea saikolojia ila nina hisia za kinyamwezi. Naweza msoma mtu kabla hatujawa maadui.