Mkali kanaonekana katakuja kuwa ka mwamba ,kama kakichewa kufika dar lakini 🤔Malezi mema
View attachment 3295717
InshallahMalezi mema
View attachment 3295717
Ooooh nilipotea hewani kidogo , ila natumai mambo yalienda vizuri😉Asante min 😄 nilikutafuta uje leba unisaidie ukawa hupatikani