Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,533
- 14,895
Alichokosea huyu boya ni kutokummark huyo mtoto,angemmark for future referencehiki kisa nimekikuta huko mjini twitter View attachment 2681868
Angebadilisha ila angemmark yule mtoto for future useDuh huo ni ukatili wa kiwango cha lami, bora ungeachana nae maana hata siku utapomwambia mtaachana tu.
Ila ukifikiria sana ni kama ngoma droo japo katoto ka watu hakana hatia kameshapoteza wazazi wake wote.
Midemu sijui inawashwaga na nini manina zao hao madevil ndio chanzo kikuu cha watoto wasio na hatia kuteseka hapa dunia masheitwain wakubwa
Afu kitu ambacho huwa nashangaa zaidi yaan hata huwa hawajutii huwa wanaona ni jambo la kawaida tu Tena unakuta mwingine anasimulia kabisa kwa wenzie au sisi ndo hatujui tu ila wao limeshakuwa jambo la kawaida limeanza kitamboDuh huo ni ukatili wa kiwango cha lami, bora ungeachana nae maana hata siku utapomwambia mtaachana tu.
Ila ukifikiria sana ni kama ngoma droo japo katoto ka watu hakana hatia kameshapoteza wazazi wake wote.
Midemu sijui inawashwaga na nini manina zao hao madevil ndio chanzo kikuu cha watoto wasio na hatia kuteseka hapa dunia masheitwain wakubwa
we unaonaje hili swala