Nimekuwa addicted na wake za watu

Nimekuwa addicted na wake za watu

Kama unataka hiyo ROUGH ROAD watu waibomoe endelea na huo mchezo mkuu!

Huo mchezo siyo mzuri hata kidogo mdogo wangu acha kabisa.

Nenda kanisani tubu na uwe unasali Sana utabadilika na kuacha hiyo tabia kama nilivyoacha tabia ya kuwakaza wanawake wenye mimba.

Nilikuwa nikimuona mwanamke mwenye mimba nywele zinasisimka ila sasa hivi nimeacha.
hii kali yaani ukiona tumbo kubwa tu hamu hii hapa...
 
Ipo siku na wewe utakuwa adicted kwa waume zao maaba watakupiga bila hata kilainishi
 
Hata humu huenda wake za watu wakakutafuta kiongozi.a
 
Subiri
Wakuu habari

Leo natumia platform hii ndogo kukiri kuwa nimekuwa addicted na wake za watu, yaani nikimuona mke wa mtu maeneo ambayo ya kula bata au anywhere ambapo nitaweza kuinteract nae basi hadi moyo unafanya paah, jamani hii tabia kweli sio nzuri kutembea na wake za watu nataka niache maana kuna hadi mmoja alinimbia nimpe mimba halafu yeye atajua jinsi ya kumpanga mumewe.... yaani nataka nijaribu kutulia na huyu mchaga lakin wake za watu nimekuwa na bahati nao sana kushiriki kimapenzi kuliko hata wasio wake za watu. mbaya zaidi wengi wao wana watoto, nishaitwa sana baba au uncle na watoto wasio wangu.



ushauri jins ya kuepuka kuendelea na situation hii



Subiri risasi itakuwa ndo mwisho wake.
 
Kuitwa mtu mzima kuna maana kuwa unatambua mema na mabaya, hivyo uamuzi upo juu yako na mawazo yetu ni sehemu ya kukupa changamoto tu.
 
Huwezi acha hadi uingie 18 ya njemba ya mke wa MTU...utayofanyiwa utaacha tu bila shurti...si tangu umeanza unaona utamu tu subiri uchungu...
 
Back
Top Bottom