Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Babu hujasikia issue ya chuga??ohoo ucje mwagiwa petrol kwenye godoro ukateketea unajiona...
Acha bhana.
Acha bhana.
sawa bossAcha iyo tabia sio nzuri kabisa
mkuu ponda raha maana kufa kwaja..nawe ukifumaniwa kuwa radhi kuubeba mzigo wako..utatiwa chuma cha moto kuleeee..
ndio maana niko mbioni kuachaBabu hujasikia issue ya chuga??ohoo ucje mwagiwa petrol kwenye godoro ukateketea unajiona...
Acha bhana.
Wakuu habari
Leo natumia platform hii ndogo kukiri kuwa nimekuwa addicted na wake za watu, yaani nikimuona mke wa mtu maeneo ambayo ya kula bata au anywhere ambapo nitaweza kuinteract nae basi hadi moyo unafanya paah, jamani hii tabia kweli sio nzuri kutembea na wake za watu nataka niache maana kuna hadi mmoja alinimbia nimpe mimba halafu yeye atajua jinsi ya kumpanga mumewe.... yaani nataka nijaribu kutulia na huyu mchaga lakin wake za watu nimekuwa na bahati nao sana kushiriki kimapenzi kuliko hata wasio wake za watu. mbaya zaidi wengi wao wana watoto, nishaitwa sana baba au uncle na watoto wasio wangu.
ushauri jins ya kuepuka kuendelea na situation hii
Good😀nitaibadili
shindwaPole sana Mkuu, Naona kifo kinakusogelea kwa kasi sana. Waliosema Mke wa mtu sumu hawakukosea
Arusha event to you is loading......