Nimekuwa addicted na wake za watu

Nimekuwa addicted na wake za watu

utajisikiaje mfano siku unagundua mama yako anamcheat baba yako? shemeji yako anamcheat kaka yako?au mwanao anatoka nje ya ndoa? ..
 
Wakikukula jicho siku moja ndo utajiua kama ni addicted au kujiendekeza tu
 
Hapo mbona fresh mkuu endelea kuwatafuna tu maana hawana disturbance sana kama magume gume ambayo hayajaolewa wale tu mkuu
 
siku hizi zambi za kula tigo tumeacha maana mungu mwenyewe amekataza hiyo, kwa ss tunakurestisha inpeace kidizain tu. Dizain ya kwanza n kukuchoma moto ukiwa hai na dizain ya pili inayokuja ni kukuzika ukiwa hai.

Shenz zenu kbs
tusitishane sasa kwani nimetembea na mke wako
 
Mke wa mtu adai kodi ya meza wala pesa ya kusuka ataulizwa .....we endelea it's zero expenditure... But na wewe ngojea mshaara
 
Yani ni mara mia upige mgalala kuliko kutembea na hawa watu madhara utakayo kuja kuyapata cku ukikutwa ucje kusahau kuleta mrejesho hapa
 
Inaonekana hupendi kugharamia, unapenda sana kitonga.

Acha iyo tabia, mwenzio kachomwa moto huko arusha juzi
 
Back
Top Bottom