Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

Kumuamini kirahisi Sana kwenye mapenzi ni sawa na kuegemea ukuta mbovu.Ipo siku utakuangusha,sina hamu na mapenzi.Ila MUNGU ni mwema anatusaidia kutuponya kwenye maumivu ya mapenzi na tunaanza kwa upya tukiwa imara zaidi.
 
Wasichana wengine ni viazi kweli yani unamuacha mtu kisa kibungo sijui wakati mnatongozana haukuliona hilo?Haya kajirudi mwenyewe kwa kibungo na pichu kavuliwa na mgegedo kapewa na huyohuyo kibungo.Hahahaha haki ya nani hizi akili naomba kuepushwa nazo
 
Sasa mke nae kibungo?? Mbona umemsaliti ?? Nae anakosa gani ukamsaliti??
 
Ni miaka mi 5 imepita tokea alivonisaliti na kuamua kuniacha binti huyu mrembo. Ni wiki sasa tunawasiliana na kukumbushana mambo ya zamani na jinsi tulivokuwaga wapenzi, ndio maana hata juzi baada ya hizi mvua za Dar salama kuanza kunyesha zilitibua utaratibu mpaka tukavunja amri ya sita,noted mimi nimeshaoa.

Nakumbuka alinisaliti hadharani bila hata kupepesa macho.Aliniacha nikiwa nasononeka huzuni na sikitiko la muda mrefu tena hata bila kiniambia kisa cha kunisaliti na kwa kipindi chote nilikuwa najiuliza kwa nini alinisaliti, lakini sikupata jibu.Ndipo juzi tulipomaliza kunjunjana nikamuuliza nikitaka kujua ni kitu gani kilicho sababisha aka ni cheat alianza kwa kuniambia unajua Sikununu nilikuwa nakupenda, lakini yule kijana alikuwa handsome sana na wewe ulikuwa kibungo.

Nikavuta pumzi akaendelea nilikuacha kwa vile ulikuwa huna exposure ilikuwa ni right decision by that time najua nilikuumiza sana mpaka Leo nakumbuka kilio chako cha kiume,najisikia raha sana napokumbuka mwanaume wewe uliyekuwa strong na mgumu kwenye maamuzi pale ulipotoa chozi,

Lakini najua nilikupa funzo zuri sana ambalo najua mpaka leo mwanamke hawezi kukusumbua.I see how you live with your wife.Tokea tumeachana nimekuwa situlii na mtu mmoja na kila siku nalia na kujilaumu kwa tukio lile la kukusaliti ile dhambi inanitafuna kila siku naombea siku zirudi nyuma ili niweke mambo sawa lakini ndio haiwezekani,natamani Leo hii ningekuwa mke wako Sikununu najua ulinipenda sana mpaka Leo.

Mimi nikamjibu kwa kumwambia kweli ulifanya maamuzi sahihi maana kipindi chote ambacho tulikuwa pamoja nilikuwaga natafuta namna ya kukuacha but nilikuwa nashindwa cause nilikuwa nakupenda sana so nisingeweza na ningeumia sana, sasa ulipo nicheat nikaona hii ndio tiketi ingawa iliniumiza sana na mpaka Leo nimeoa still I don't believe in real love it is all about destiny.

Maneno ya huyu mrembo yaliuchoma sana moyo wangu lakini lile fukuto la kipindi chote alinitoa moyoni mwangu.

Story zina maala pake si hapa of coz hili jukwa si pakuleta story za paukwa na pakawa..
Nenda Kule.
 
Anajuta kutenda dhambi ya kukusaliti wakati huo huo anatenda dhambi ya kukupa ucchi!! ..kiazi kumekutana na muhogo!!
 
Nahisi tukio la namna hii linawafuasi wengi sana. Mimi nakumbuka mwaka 2003 naenda chuo nikamuacha yeye UDSM anaingia "final year". Balaa sana, hata miezi 2 haikufika nikawa kila nikiwasiliana naye lazima aniharibie "mood". Baadaye hata mawasiliano nikapigwa "ban". Baada ya mwaka nilipotoka "machimbo" sikujua hata naanzia wapi kumpata (kumbe mwenzangu amekula shavu la kazi Tanga huko). Cha ajabu sijui alikutwa na "maswaibu" gani huko, miaka nenda rudi anakuja kukumbuka "mbachao" yake 2010.
 
Mkuu vipi sasa hvi ni shem wetu nini au ilikuwaje baada ya kurudi tena online?
 
hakuna kosa kubwa maishan mwako kama kumrudia mwanamke aliyekusaliti mbaya zaid ushaingia kwenye ndoa.. Mungu akusamehe bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom