Uchawi wa mikwara mbuzi kama huo ni uchawi wa chekechea.
Tafsiri yake ni kwamba angekuroga lakini ameshindwa kwa sababu unaye Yesu aliye hai, ndio maana pale kaweka ka msalaba na damu nyekunduHahahaha yaani hilo yai anamaanisha likipasuka ndo umekufa au? Naona msalaba pale.
Mkuu umekosea sana!!!ungecheki yai kama sio viza unalikaanga unapata kifungua kinywa!!
Tafsiri yake ni kwamba angekuroga lakini ameshindwa kwa sababu unaye Yesu aliye hai, ndio maana pale kaweka ka msalaba na damu nyekundu
shamba lako liko wapi?!?1 kama vipi tuongee bei
Mtaalam gani zaidi yangu?Hahahahaha. Sasa ww umekuwa mtabiri wa juju!? Umejuaje kwamba huyu jamaa ana yesu. Au kwa sababu kasema. Na umejuaje kama hio juju imemkwepa. !? Huenda ndo chanzo cha nuksi. Yafaa kufuats ushauri wa wataalam
Hapo mpwa ni dalili kwamba unawindwa sana....mwone haraka zana mzee MziziMkavu