Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
- Thread starter
- #61
Sawa mkuuPamoja na kulialia kwako, ila ni nimekuelewa sana. Akina Beatha tunawaona wengi sana tukirudi vijijini tunaishia kuita paka na mnnnh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimgundua baada ya kusogea karibu.Ulimgundua baada ya kumuona sura mtoto aliyemshika mkono bi maana walikuwa wakitembea.Ukaja sema mtoto ananyonya angali yupo mgongoni kwa ziwa kupitishwa begani.Kipi hasa ni sahihi au story yote ni sanaa ya utunzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema ana miaka 20 mkuu. Nimesema ana miaka 20s.ahahahaha.. inasikitisha ile kuna mahali nimecheka sana.
anyway, tuyaache hayo tujadili ishu za msingi.
mkuu kama beatha ana miaka 20 sasa ww una miaka mingapi.
wakati unasoma ww na yy yupo bushi alikua na miaka mingapi(maana kwa kiwango cha chini kibongo bongo kumaliza olevel ukiwah sana shule basi ni 16 years ingawa wengi tunaenda mpaka 18yrs). Kipindi hiki beatha alikua na miaka mingapi?
okay, mpe time ya yy kuolewa na ww ku move on na maisha yako ,ilichukua miaka mingapi mpaka anazaa watoto??
hii chai mkuu imezid sukari banaa.
ahahahahah
Dooh!! Appologies mkuu.Nili overluk.
Amesema kama ana miaka 56Miaka 56? Mwanamke awe ananyonyesha huku anamimba? Uko makini kweli au kuna nati ktk medulla oblangata imelegea?
Be serious man!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh ww jinsia yake 😂😂😂😂😂Mkuu unalia lia sana, kila uzi wako ni vilio tu, jinsia iko timamu kweli?
Umesoma vizuri kweli!!!?? ....Miaka 56? Mwanamke awe ananyonyesha huku anamimba? Uko makini kweli au kuna nati ktk medulla oblangata imelegea?
Be serious man!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
....Duh! Tena Chumvi ya Mawe!! Titi limerefuka had I linaweza kutupiwa mgongoni mtoto akaweza kunyonya huku mama akiendelea na Shughuli zake!!😕😕Nebuu story yako chumvi nyingi bhanaa,.
Mkuu sio vibaya kutengeneza story ila hakikisha inagusa hata msomaji
sio hizi zako hazivutii
Usilazimishe kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app