King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,795
- 3,327
ahaha halafu amekaa kama ngoswe ngoswe hivi😆😆Mkuu unalia lia sana, kila uzi wako ni vilio tu, jinsia iko timamu kweli?
harakati za pimbiahaha halafu amekaa kama ngoswe ngoswe hivi😆😆
Hukufanikiwa kutoa taarifa kama ulivyopanga. Umetoa taarifa kama nilivyoionesha hapo. Jaribu kuhariri ili ikae kama ulivyoionesha hapaKwa alivyokuwa ni kama mama wa makamo kumbe ni binti wa miaka 20s.
Maisha yamempiga sana Beatha mkuu.
Usipokuwa makini unaweza jua ni bibi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hujaelewaMiaka 56? Mwanamke awe ananyonyesha huku anamimba? Uko makini kweli au kuna nati ktk medulla oblangata imelegea?
Be serious man!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We jamaa nawe unalialia kama mwehu,kwenye thread nyingine ulikuta Bush kwenu wamejenga hospitali ukalia,ukinunua simu mpya unalia,ukisalimiana na mtu unalia,ukicheka unalia,ukilia unalia