Nimekutana na Shoga FB

afadhali wataalam wakuchakachua nyuzi mmeingia hapa...endeleeni ku-dilute iyo mada.
 
No matter katoka wapi na nani kufanya nn ili mradi he loves me i love him inatosha,as long as pasword ya utamun nnayo mwenyewe ctaki kuambiwa alikotoka coz aliniaga alipokua anaenda!vp wifi yangu hajambo lkn?

SL kamnunia hapo anazuga kwa yasiyomhusu
 
"Nafungua Facebook account yangu, nakuta kuna notification ya friendship request kutoka kwa mtu nisiyemfahamu (Male), nacheck kuna kama common friend 10 hv kati yangu na yeye, naamua ku accept friendship request yake, after 3-4 days kila nikiwa online ananitumia message as if tunafahamiana, najaribu ku distance kidogo kwa kumpiga maswali ya hapa na pale,jana kaja na mpya,ananiuliza naishi na nani na kama nimeoa, namuuliza kiutani "You wanna offer me a chick?", ana jibu "I wanna offer you me".
Namuuliza "Are you a girl a boy?" ananijibu "Teh teh, am a boy, cant you see my pictures".
Namjibu "Why now u said you wanna offer me you ?"
Anajibu, "I am a gay"
Namuuliza "When did you started and why?"
anajibu "Last year, i met with Muzungu, and he is the one started ****ing... me"
Namjibu, "Shiiiit, did he rape you, how old are you?"
Anajibu "I am 19 yrs old, he didnt rape me, i like men since long time"
Namjibu "Okai, so what do u want from me?"

Anajibu " If you dont mind, let you **** me "
Namjibu, "I dont use that, goodbye"
Then nika mdelete on my friendlist
kisha nikajiburuduisha na Hip hop ya Zamani ( Bongo flavour ) GWM feat Mr2 Sugu----Yamenikuta

ayaaaa ahaaaaaa mboni umemkatisha aiseee ungeweka na snap zake jamvini ili ukimuona tu ujue nini mtaifanya...
 
Back
Top Bottom