Nimekutana na rafiki yangu aliyedisco chuo

Nimekutana na rafiki yangu aliyedisco chuo

life is a circle of sadness,hard times,happiness and if you're going through sorrow times remember Even good times are on the way,wish all the best
 
Disco. Namfahamu jamaa alidisco pale karibu na azania akiwa mwaka wa 3 nadhani! So sad. Yule jamaa malaria ilipanda kichwani.
 
Sasa mtu anakuaje yupo vizuri wakati ameajiriwa???
Cheki sasa wabongo mlivyokariri maisha, labda we unafikiri muuza kahawa aliyejiajiri na mwalimu aliyeajiriwa nani yuko vizuri ? Usikariri eti kujiajiri ndio kutoka kimaisha
 
Cheki sasa wabongo mlivyokariri maisha, labda we unafikiri muuza kahawa aliyejiajiri na mwalimu aliyeajiriwa nani yuko vizuri ? Usikariri eti kujiajiri ndio kutoka kimaisha
Kwan kuna kitu wabongo wanakariri kama kuajiriwa??

Naww acha kumtaman kwa sabab huna ajira ebu jiajiri

Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom