Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Daa so sad
Hapo alikuwa ameshiba nyama ingesagika tumboni miezi 2 na zaidi bila kula tena

Yaani nisingekubali wamuuwe
Wapole sana Kama wameshiba

Wana speed wakati wanavamia tu ila hapo hana ujanja

mngemuacha tu aendelee na maisha yake
Hao Mungu alielekeza tuwaue
 
Hao Mungu alielekeza tuwaue
Kuna hadith inasema "Na mkiwaona majumbani kwenu watoeni mara 3 (waambieni watoke) na wasipotoka waueni maana ni ishara mbaya ya jinn

Kweli Mkuu tumeambiwa tuwauwe kama wana madhara na sisi
 
Kachatu kawatu bado kadogo mmekauwa dah mngemuacha aende bado hajafika stage ya kufaa kuuliwa huyo
 
Mwaka juzi nikiwa manyovu kigoma nilikutana na chatu kubwa kama hizo 3 zikanichangilia lkn hazikuamini nilizipa kichapo zikakimbia
 
Dah mwanangu huyo msinge muua siku ukifanikiwa kuonana mwingine nishtue nije kumkamata kuna sehem huwa wanapelekwa hao
 
Back
Top Bottom