Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Daa so sad
Hapo alikuwa ameshiba nyama ingesagika tumboni miezi 2 na zaidi bila kula tena

Yaani nisingekubali wamuuwe
Wapole sana Kama wameshiba

Wana speed wakati wanavamia tu ila hapo hana ujanja

mngemuacha tu aendelee na maisha yake
 
huwa nina uwezo wa kutoa hivyo vivuri na kuona sura zenu, nje ya topic.

Siku nyingine msiue mfugo huo, huyo anakamatika kirahisi sana.
 
Wanaume wa Dar hapo wangevunjavunja mihogo kwa kutimua mbio.

Kesho ungeenda kuangalia shamba ungelidhani tembo kapita
Asee wewe jamaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom