Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Nimekutana na joka kubwa kuwahi kuliona (python)

Anazo? Hii moja kwanza imepigwa kimagumashi kweli kweli. Sijui ni kwa nini. Joka kubwa kama hili asipige picha nyingi lionekane lote?
Inawezeka hapo wamejikaza sana kilishika😂😂😂 kila nafsi inauoga ispokua ujasiri ndio unatupa nguvu tu!
 
We jamaa Hili swali lako nimecheka Sana.

Hivi katika Hali ya kawaida unaweza kumshika chatu mkia hivyo alafu akakuangalia tu? Labda chatu wa kuchora kwenye gazeti.
Kuna wa Vietnam nilikuwa naangalia video zao wakiwinda nyoka nilijifunza kitu.

Kwa wale wenzetu wana vitu vichache ambavyo havipo kwenye list ya chakula.

Mimi na wewe tunamuona huyo Chatu kama nyoka, wale jamaa wanamuona kama mboga.
 
Niwekee kwenye friji nakuja kumchukua namba yangu nimekutumia pm
Kama hivi
IMG_20230526_231122.jpg
 
Back
Top Bottom