Ni kweli kwamba kesho ni siku ya mapumziko? Yaani Maulid?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Nimeona kwenye kalenda kuwa kuna mapumziko ya Maulid je ni kweli?

Hii nayo inategemea mwandamo wa mwezi? Au tangazo la Bakwata?

Nimepita kwenye kurasa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii sioni hata viashiria kwamba kuna sikukuu.

Mwenye kujua atusaidie ili tujue tunaamkia kazini ama kwenye mishe zetu
 
Itakua mwaka jana

Screenshot_20240301-002320.png
 
Nimeona kwenye kalenda kuwa kuna mapumziko ya Maulid je ni kweli?

Hii nayo inategemea mwandamo wa mwezi? Au tangazo la Bakwata?

Nimepita kwenye kurasa mbali mbali kwenye mitandao ya kijamii sioni hata viashiria kwamba kuna sikukuu.

Mwenye kujua atusaidie ili tujue tunaamkia kazini ama kwenye mishe zetu
Kesho ni maombolezo
 
Back
Top Bottom