DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,976
Huyo ni Zuhura...huwa anakaa hapo darajani...na kama amekusalimia ujue amekuchagua, na hakika hatakuacha
Ungelitia moto tu. . . . . . au hukuwa na nali?????
Inawezekana ni mauzauza lakini ulimwengu umejaa viumbe vionekanavyo na vingine vya maajabu.
Nimeshawahi kukutana na matukio kama hayo Mwenge Kanisani na kiwanja cha mpira mwenge. Mida ni saa kumi na moja kasoro. Matukio tofauti na venue tofauti, niliona kiumbe cha ajabu na kikatoweka ila sikuogopa wala kukimbia
Mi naskiaga tu stori kama hizi ila sijawahi kuona
Yawezekana. . . . . kwetu unaambiwa ukikutana na kitu ya ajabu na usiposisimka basi hamna mbaya ila ukisisimka hapo kuna ishu. . . .Mambo mengine ni Kuya ignore tu mkuu ukijifanya kushindana nayo unatafuta mabalaa mengine
Braza Paw sema tu ukweli kama ulikimbia, sitamwambia kabisa KING`asti.
Huyo ni Zuhura...huwa anakaa hapo darajani...na kama amekusalimia ujue amekuchagua, na hakika hatakuacha
Usihifadhi mji kwakuwa hakuna siri, weka kila kitu wazi tuone vile ilikuwa na tuweze kukusaidia ninini hasa ulikutana nacho, kinyume cha hapo utaniacha na maswali mengi
Yawezekana. . . . . kwetu unaambiwa ukikutana na kitu ya ajabu na usiposisimka basi hamna mbaya ila ukisisimka hapo kuna ishu. . . .
Sijui kweli iko wapi
Ningemuamuru arudi kuzimu!Ungekuwa ndio wewe ungefanya nini?
Uweunapita na mfupa wa nguluwe utamwona tena
Mkuu ni Geita mjini,daraja lenyewe ni karavati dogo sana,aliingia kwa kuinama,na uso wake ulikuwa umefunikwa ila ana dalili zote za mwanamke.