Nimekutana na binadamu wa ajabu alfajiri hii

Special agent.

Senior Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
101
Reaction score
71
Nikiwa njiani kuelekea kwenye mihangaiko ya maisha nikielekea kwenye shughuli zangu saa 11:15 alfajiri hii (mji nahifadhi) nimekutana na mwanamke akiwa kavaa hijabu nyekundu kanisalimia,sauti yake nyororo sana eneo nililokutana mwanamke huyu ni darajani,daraja nilikuwa nimeshalipita mita kadhaa,nilipogeuka nyuma nashangaa kumuona mwanamke yule anaingia darajani,siyo siri nimetoka mbio wanajamvi sijui ni kitu gani.
 
Usihifadhi mji kwakuwa hakuna siri, weka kila kitu wazi tuone vile ilikuwa na tuweze kukusaidia ninini hasa ulikutana nacho, kinyume cha hapo utaniacha na maswali mengi
 
Kama huo mji ni Tanga wala usiwe na wasiwasi hayo ni mambo ya kawaida kabisa
 
Usihifadhi mji kwakuwa hakuna siri, weka kila kitu wazi tuone vile ilikuwa na tuweze kukusaidia ninini hasa ulikutana nacho, kinyume cha hapo utaniacha na maswali mengi

Mambo ya Mwakuembe kuleta ripoti mbili.na.kuisoma moja ndio yameifanya ccm kutojua vha kufanya kuhusu.El kama kahifadhi maeneno lakn tukio kalisema cna imani kama kweli.
 
taja mji na daraja maeneo lilipo otherwise we ni Muongo
 
Nikiwa njiani kuelekea kwenye mihangaiko ya maisha nikielekea kwenye shughuli zangu saa 11:15 alfajiri hii (mji nahifadhi) nimekutana na mwanamke akiwa kavaa hijabu nyekundu kanisalimia,sauti yake nyororo sana eneo nililokutana mwanamke huyu ni darajani,daraja nilikuwa nimeshalipita mita kadhaa,nilipogeuka nyuma nashangaa kumuona mwanamke yule anaingia darajani,siyo siri nimetoka mbio wanajamvi sijui ni kitu gani.

Alfajiri kunakuwanga na matukio ya ajabu sana.... Mm kuna siku mida ya saa 11 asbhi nikiwa naelekea kwenye mishe zangu kuna chochoro huwa napitia, ile kukunja tu nakutana na furushi la kiroba alafu linacheza cheza, kila nikijaribu kulikwepa nipite lenyewe nalo linasogea upande huo huo, nikaona isiwe taabu nikageuza nikapita njia nyingine... Mpaka leo najiuliza kilikuwa ni nn kile sijapata jibu mpaka leo.
 
Na kwa sababu husemi sehemu basi umependa, . . . . .na atakufuata saba mara sabini
 
Alfajiri kunakuwanga na matukio ya ajabu sana.... Mm kuna siku mida ya saa 11 asbhi nikiwa naelekea kwenye mishe zangu kuna chochoro huwa napitia, ile kukunja tu nakutana na furushi la kiroba alafu linacheza cheza, kila nikijaribu kulikwepa nipite lenyewe nalo linasogea upande huo huo, nikaona isiwe taabu nikageuza nikapita njia nyingine... Mpaka leo najiuliza kilikuwa ni nn kile sijapata jibu mpaka leo.

Ungelitia moto tu. . . . . . au hukuwa na nali?????
 
Inawezekana ni mauzauza lakini ulimwengu umejaa viumbe vionekanavyo na vingine vya maajabu.

Nimeshawahi kukutana na matukio kama hayo Mwenge Kanisani na kiwanja cha mpira mwenge. Mida ni saa kumi na moja kasoro. Matukio tofauti na venue tofauti, niliona kiumbe cha ajabu na kikatoweka ila sikuogopa wala kukimbia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom