Alfajiri kunakuwanga na matukio ya ajabu sana.... Mm kuna siku mida ya saa 11 asbhi nikiwa naelekea kwenye mishe zangu kuna chochoro huwa napitia, ile kukunja tu nakutana na furushi la kiroba alafu linacheza cheza, kila nikijaribu kulikwepa nipite lenyewe nalo linasogea upande huo huo, nikaona isiwe taabu nikageuza nikapita njia nyingine... Mpaka leo najiuliza kilikuwa ni nn kile sijapata jibu mpaka leo.
Alikuwa mlev huyo...walevi wenzake wamemuweka kwenye kiroba mkuu