Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Mkuu, pole sana.
Usifanye uamuzi wowote kuanzia hivi sasa juu ya hatma yenu, kaa chini utafakari kisha muweke chini mkeo mzungumze.

Muulize kwa utaratibu bila hasira ni nini kilichopelekea yeye kufanya hivyo?
Akikujibu utapima mwenyewe, akionesha kujutia na kukuhitaji msamehe na kumkanya, otherwise amua mwenyewe.
Kilanga komwe hasira hasara angalia usiangukiwe na matofari tu
 
Anatokea mjinga mmoja anakwambia usishike Simu ya mkeo.. Utaishi na malaya ndani anayeitwa mke.

Ushauri wangu msemehe, asipojirekebisha fukuza.
Mimi simu yake nakaa nayo 24 hrs, na Kila Simu inayopigwa lazima nijue ni nani, kwenye phone book yake lazima niwajue usipofanya hivyo utaishi na Malaya ndani, na atakudhalilisha maana akianza kugongwa nje wewe anakuvua nguo.
 
Lakini Malaya achungiki hata ukae na simu yake.
Anaweza chat hata kwa messenger au telegram au email au akifika home TU ana delete kila kitu
 
S
Mkuu, pole sana.
Usifanye uamuzi wowote kuanzia hivi sasa juu ya hatma yenu, kaa chini utafakari kisha muweke chini mkeo mzungumze.

Muulize kwa utaratibu bila hasira ni nini kilichopelekea yeye kufanya hivyo?
Akikujibu utapima mwenyewe, akionesha kujutia na kukuhitaji msamehe na kumkanya, otherwise amua mwenyewe.
sawa
 
Mkuu hii ni human behaviour, hatuwezi kufanana. Ila kwa upande wangu uzinzi kwenye ndoa hauna excuse, bila kujali chochote.

Nasema hivyo kwa sababu inakuwa mwisho wa kukupenda na kukujali, itabaki mke jina tu. Sijui tutalalaje wote, sijui nitaanzaje kula k yake.

Kwa hiyo mke wangu ajitahidi sana nisimdake wala kuonyesha dalili za kuchepuka. Na mimi kwa sababu najua udhaifu wangu nitajitahidi nisimfukunyue.

Nina manzi hapa nilishamuweka kwenye plan zangu, lakini siku niliponusa anachepuka, hakuamini macho yake. Nilimlia mikausho, akadhani natania kwa jinsi nilivyokuwa nampa attention aliamini siwezi kupindua. Leo miezi imekata, NO call No text
Wewe ulishawahi kuchepuka mkuu ?
 
Back
Top Bottom