Nimekuta huyu mdada anatafuta mume

Hapa kavaa nguo za kikahaba. Na ukahaba ni roho, unamwoa unamweka ndani anakumbuka enzi zake.
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kumwoa mwanamke;
-Anayevaa suruali inayoonyesha shape take
-Anayevaa transparency cloth yoyote.
Anayeacha sehemu ya kifua/matiti wazi.
-Anayeacha magoti wazi
-Anayeweka mabreach au kunyoa vifuku au vijogoo n.k
Hata wale wanaotafuta Malaya bar and any where cha kwanza hutazama mavazi au hair style ya mwanamke ndo hupata jibu kuwa huyu Malaya au LA!
mkuuuu ww hujanywa bear na wala bar hujui kunawanawake wanavaaa kiheshima official classic na wanajiuza nenda 5N Korona ikisha au 40/40 tabata
 
Back
Top Bottom