Nimekuta chupi na sidiria mlangoni kwangu, mara mbili

Nimekuta chupi na sidiria mlangoni kwangu, mara mbili

Kati ya hizo kufuli,hakuna hata moja unaikumbuka kuishusha toka kwa mtu???
 
Wasiwsi wangu mkubwa ni majirani kuniona mimi mshirikiana wa kuvutia wadada kwa viwalo vyao au wadada kuniona nawapanua sana, naanza kupata picha, zaweza kuwa njama za washindani hizi, maana kuna jamaa huwa linaniona kama mademu wa hilo eneo wote ni wangu, kumbe mimi ni socializer tu.

Na kama ni hivyo anafanya hivyo ili kukukomoa au kukuchonganisha na hao madada
 
Mkuu kama zinakutosha c uzivae tu
 
They will flip on you watch out

Sasa hivi nimeongeza silaha za ulinzi kwangu, maana hii pia isije ikawa mbinu za watu wa Dar, aje kutokea msenge, kwamba tumekufumnia hizi nguo ni za mke wangu, atajuta kunivamia.
 
Yakwanza umeiweka wapi twambie na ya pili fanya hivyohivyo
 
Labda kuna mtu anapoteza hizo nguo za ndani mara kwa mara na kakushuku wewe ndiyo mwizi wake kwa kuwa huna mke, na ameona usipate taabu ya kuhangaika kuiba kufuli anakuletea kabisa isiwe shida.

Are they clean or soiled?
 
Hahahahahaha lol! Dah! Mkuu ulikuwa unawaza nini? Kuna mdada alitaka kukutunuku siku nyingi lakini kaona huelewi somo sasa kaamua kuongeza vioja. Ukitulia na kuwa makini unaweza kumgundua.

Zichukue uzinuse kisha anza kumtafuta Mtuhumiwa wako mwenye harufu hiyo..Ukimpata hukumu ni juu yako.
 
Itakuwa unakaribia kubadilika kuwa wa kike,
zitunze tu maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom