Miezi michache iliyopita nilibahatika kwenda marangu mtoni. Kwa kweli kwanza hali ya hewa ni kama ulaya yaani halafu watu pia ni wakarimu, mazingira safi sana, vitu kama maporomoko ya maji na kula nyama na kunywa mbege kwa sana. Salam zangu kwa wakazi wa marangu, one day nitarudi tena!
mie kweli napapenda ila utaratibu wao wa kuchinja kizamani huwa siufagilii kwakweli yaani nyama inakanyagwa na miguu utafikiri ni sakafu?? kwann wasitundike juu khaaa!!!!!!!!!!!!
mie kweli napapenda ila utaratibu wao wa kuchinja kizamani huwa siufagilii kwakweli yaani nyama inakanyagwa na miguu utafikiri ni sakafu?? kwann wasitundike juu khaaa!!!!!!!!!!!!