..nimekumbuka mbali sana..

..nimekumbuka mbali sana..

hebu kumbuka hili shairi:
...
Sikiri mimi maskini, uvivu wangu nyumbani, ukiwa huu njiani, nakufa hapa kwanini?
...
Sadiki sasa ashiba, chakula kingi kwa baba,,, [daah, hebu endelea kama unakumbuka, mm nimesahau...]

sadiki sasa ashiba, chakula kingi kwa baba, nirudi tena kwa baba, nakufa hapa kwa nini?
 
.. Huyu ni baba, baba ana ng'ombe, baba anasema, kimbia ng'ombe, kimbia nyumbani, kimbia upesi, baba ana njaa...
 
Karudi baba mmoja toka safari ya mbali kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili.........
 
Hadithi inayokuja, ni ya sungura sikia, hadithi uliyongoja, leo ninakuletea, alitoka siku moja, njaa aliposikia, njaa aliposikia, sungura nakuambia
 
Sizitaki mbichi hizi, mama wa kambo ni mama, lol!!
 
1. Mandawa na manenge
2. Mzee tola
3. Mfalme mwenye masikio kama ya punda
4. Sizitaki mbichi hizi..
5. Safari yenye mkosi.
6. Siku ya gulio Katerero.
Daah! Lakin hii haichekeshi wadau. Hebu na wewe kumbukia enzi zako za primary..

Pioneers meeting in Zanzibar, adventure in the game reserve ....
 
Sizitaki mbichi hizi... Sungura karukaruka, kachoka hadi mkia,ndizi hakuzifikia.* Dah,kitambo sanaah!
 
one,two time my shoes..three,four shit the door...five,six pick up sticky..seven,eighty....»endelea mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom