Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Mfano mtu akituma uzi wa lugha mbaya au akiamua kutukana hata serikali. Huo uzi si utaachwa tu mpaka siku 90 ziishe ndo Mods watakuja uona?
Maana wakiuondoa itakuwa mgogoro na TCRA wameuondoaje na wakati wamefungiwa? Je wanaingia JF kupitia VPN? kosa jingine.
Nikakumbuka habari ya Mlinzi ambaye alilala lindoni akaota boss wake anapata ajali safarini. Kesho yake kweli kuamka akamwona boss wake anakuja na mabag yapakiwe kwenye gari ana safari. Mlinzi akakumbuka pia kwenye ndoto aliona boss wake kavaa nguo hizo na mabag hayo.
Je amwambie boss wake kuhusu ndoto yake au amwache aende zake? Akimwambia boss atagundua mlinzi huwa analala windoni. Akimwacha boss ataenda pata ajali na kufariki. Afanyeje?
Akitema nchale, akimung'unya nchale, akimeza nchale akibaki nayo mdomoni nchale.
Sasa wadau humu JF JE NI UTAWALA HURU? MODS HAWAPO MAANA JF IMEFUNGIWA. NANI ATAREKEBISHA MAKOSA? KWA SASA UNAWEZA HATA OGA HAPO NA HAKUNA MTU WA KUKUBUGUDHI. MPAKA SIKU 90 ZIISHE.