Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,340
- 51,891
- Thread starter
- #21
Dah,nimecheka, Mimi nilikuwa nakojoa kitandani mpk nikiwa na miaka 12 mwaka 1988,
nilikoma kukojoa kitandani baada ya marehemu sister kunipigisha "kindumbwe ndumbwe chaliaaaaa" maeneo ya morogoro mitaa Ya Karume street Hadi uhuru street kwa kina Mabukila na kina Abeid mziba, kumalizikia mlapakoro street Hadi boma road kote,
Baada ya fedhea hiyo nikaacha na kukojoa kitandani
Duuh! Angekuleta mpaka Kihonda huku tukuzabue makofi🤣🤣🤣