Nimekukumbuka sana. Rest in peace

Pole Sana mkuu, inaonekana Leo kuna kitu kimeusotesha Moyo wako mpaka ukakumbuka, you still love her deeply though hayupo tena. Hongera kwa kumpenda
 
Huyo ni mwendawazimu na minyuzi yake anapost kwa siku mara 10…!!

Sijui hachoki kutype? JF ina watu wa ajabu sana.!! Kutafuta attention, public sympathy, likes na comments..!! Zinawafanya wawe vichaa..!
Kwani wakiwa na likes au comments nyingi wanalipwa? Au wanajitoa ufahamu tu?
 
Alizaliwa nao au ilikuwa ajali kazini?
 
Tuwakumbuke Wapendwa wetu waliotangulia kwa Sala,Dua na Maombi.
Pole sana
 
Hapana mkuu hakuniambukiza tulikua makini..
Kingine sikuweka kipao mbele suala la yeye kuniambukiza tulikua tunapendana sana mkuu 🥺🥺🥺🥺🥺
Sikuwahi kuwaza hilo na nilisema no matter what mkuu
Hivyo kama ungeweka kipaumbele ungeambukizwa sio?
Na kumbe wanaoambukizwa wote waga wanaweka kipaumbele kuambukizwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…