Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,795
- 58,427
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Pole Sana mkuu,japo sijaelewa hii imekaajeNakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...
Asante mkuu asante sanaPole Sana mkuu,japo sijaelewa hii imekaaje
Hapana mkuu hakuniambukiza tulikua makini..Pole sana mkuu je hakukuambukiza lakini
Mlikuwa mnatumia kondom auHapana mkuu hakuniambukiza tulikua makini..
Kingine sikuweka kipao mbele suala la yeye kuniambukiza tulikua tunapendana sana mkuu π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Sikuwahi kuwaza hilo na nilisema no matter what mkuu
Mh kijanaHapana mkuu hakuniambukiza tulikua makini..
Kingine sikuweka kipao mbele suala la yeye kuniambukiza tulikua tunapendana sana mkuu π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Sikuwahi kuwaza hilo na nilisema no matter what mkuu
Kwako Poor BrainHuyo ni mwendawazimu na minyuzi yake anapost kwa siku mara 10β¦!!
Sijui hachoki kutype? JF ina watu wa ajabu sana.!! Kutafuta attention, public sympathy, likes na comments..!! Zinawafanya wawe vichaa..!
Natumaini maumivu yakipungua/yakiisha utatuandikia kalavustori kenu walau aya 12 ,maana hapa naona umeelezea kwa juu sana ,si ndio mkuu.Asante mkuu asante sana
Ndio mkuu mara moja moja kondomu tena yeye alikua anafosi..Mlikuwa mnatumia kondom au
Pole mkuuNimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu..
Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu...
Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo..
Tupo advance alianza kuumwa kutokana na shule aliyosoma ilikua na mazingira ya baridi na ukizingatia yeye alikua na athma..πππ
Kifo ni fumbo wakuu. πππππ
Nakumbuka mara ya mwisho alilaumu sana kwanini sikuenda likizo badala yake nikabaki shule...
Mpaka anaumwa kilikua kipindi cha mitihani ya moko hivo kutoka pale shule ilikua ngumu, nilitamani kutoroka nilishindwa, nilitamani nifanye vyovyote nikamuone ...
πππππππ
usiseme hvo kwani ujafa ujaumbika madamHuyo ni mwendawazimu na minyuzi yake anapost kwa siku mara 10β¦!!
Sijui hachoki kutype? JF ina watu wa ajabu sana.!! Kutafuta attention, public sympathy, likes na comments..!! Zinawafanya wawe vichaa..!
Asante mkuuPole mkuu
Hapana mkuu nikikumbuka ni sad sanaNatumaini maumivu yakipungua/yakiisha utatuandikia kalavustori kenu walau aya 12 ,maana hapa naona umeelezea kwa juu sana ,si ndio mkuu.
Ujafa ujaumbika mkuuMh kijana