Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,564
Mkuu umeongea ukweli mtupu. Yaani mtu alianza na kusema mama aondoke wamwage oili waingie kwenye uchaguzi. Aliogopa kuongelea mabaya ga Magufuli akitegemea mama akiondoka atapata cheo. Huyu jamaa angekuwa anaipenda nchi angesema siri zote bila kuogopa na kuisema CCM haifai leo hii angekumbukwa. Lakini tamaa ndogo aliyokuwa nayo ya uongozi ndio iliyomfanya ashindwe kufanya hayo maamuzi.Alikuwa mpumbavu kupindukia, mfumo alioshiriki kuutengeneza na kuutetea umemtsfuna masikini ya Mungu.
Ujasiri wa nzi matokeo yake huwa ni kifo chake mwenyewe.
Hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakuongolea kitu kipya nje ya yaliyokuwa kwenye habari.Alikiri makosa na aliomba radhi kwa umma.
Imewasaidia kuweza kuishi bila Bugdha , Now siunaona wanaishi bila ya wasiwasi wowote na pia kama haujui katika medani za kisiasa kumuondoa mtu Huwa ni sehemu ya Onyo/ kuwatia hofu watu wengine wasije kufanya kama alifanya Aliye tangulia ( Pole pole)Ila tarehe 29, 30 walimuheshimisha. Hata kama alikuwa kashatangulia, ila walimuenzi. Lazma alikuwa proud. Ila sasa to think of it, kumuondoa Polepole imewasaidia nini?
Exactly.Mi simuhurumii kabisa yule jamaa,alishiriki maujinga mengi sana kipindi cha jiwe..
Bora umesema, mijitu mingine migumu kutambua vituWanalinda Ccm sio Taifa
Uzi unatia hasira wapumbavu wanamuulizia mtu ambaye alianza kuukataa mfumo wa kipumbavu unao kandamiza watanganyika
Hata kama hakutumia mbinu nzuri lakini alionesha kutaka kuleta mabadiliko Fulani.
Nimeamini watanganyika wengi ni manyumbu wanawahi kusahau. After all the battles he started Kuna watu wamesahau kabisa na kumwona mjinga.
Kuna siku Abdul atawapaka vilainishi awatindue mitalo ndipo akili zitawarejea
Pumbavu zenu
Vichwani sijui wamejaza ugolo?Daaah mkuu acha tu,kusema kweli sisi Raia wa Nchi hii ndio tatizo kubwa kuliko hata hao CCM na viongozi wao,si ajabu jeshi,mahakama, bunge vyote vimetutelekeza
UKWELI MCHUNGU.....hili Taifa tatizo lake kubwa kabisa si KATIBA,VIONGOZI MAFISADI, WASIOJULIKANA,POLISI WAONEVU,JESHI LISILOJITAMBUA,MAHAKAMA NA BUNGE DHAIFU.....ni sisi Wanachi tusiojitambua wala kujielewa.........
Nina uhakika wa asilimia nyingi sana ,kuna wqtu kibao tu humu wanaona wale wote waliouliwa Oktoba 29 kwenye maandamano ni MAFALA na WAJINGA waliostahili yaliyowapata,ila tu wqnashindwa kuandika hivyo humu sababu ya UNAFIKI wao
Inaumiza sana ila haina budi kukubaliana na ukweli huu,kwamba
unaishi ndani ya jamii ya namna hii
Ujinga ule ule wa babu zake enzi za “Maji Maji” kuwa risasi za wazungu zingegeuka maji hivyo wasingekufa!Ukishaamini Mungu anakulinda, unaweza kufanya ujinga wowote.
Mwana harakati akiwa nje ya nchi, watakuambia mnadanganywa na mtu yupo nje ya nchi, kwanini asije Tanzania... Polepole alipokuja nchini watu wanasema "Alikuwa mjinga na mpumbavu, kwa yote aliyokuwa anasema halafu yupo Tanzania"Vichwani sijui wamejaza ugolo?
Huyo alipewa kichwa na wananchi akavimba, mwisho wa siku wananchi kimyaaaaa, hakuna wa kumsaidia Tena wameshamsahau na kumsahau, ama kweli shukrani ya punda ni mateke.Usingelifanya harakati zako ( nzuri, I can say by now) ukiwa hapa!
Walijua una siri zao nyingi, lazima wakumaliza as they have done!
Nakuombea huko ulipo tukuone tena.
AMINA
Watu waliandamana kuanzia Oct 29, wakauawa 10,000.Huyo alipewa kichwa na wananchi akavimba, mwisho wa siku wananchi kimyaaaaa, hakuna wa kumsaidia Tena wameshamsahau na kumsahau, ama kweli shukrani ya punda ni mateke.
Hapo lissu atoe mfano unahangaika na wananchi ambao hawana msaada na wewe mwisho wa siku unauwawa bila ya kukutetea, hata tuu Kwa kuandamana, unaozea jela bila ya kukutetea hata Kwa kuandamana
Alikuwa highly overated for nothing. Once a cop, you stay a cop to your last day into the grave. Death penalty is the price all traitors pay to their deedsSasa alikuwa Cuba gani huyu jamaa?
Amechemka sana, hata hawa wanaojiita TFF kwa kuamini VPN nawahurumia sana, watamalizwa kimyakimya tena hawa wala hawahitaji kesi.
Tanzania alikuwa anaonekana au alikuwa mafichoni mpaka walivyomtrack na kumbaini alipo?Mwana harakati akiwa nje ya nchi, watakuambia mnadanganywa na mtu yupo nje ya nchi, kwanini asije Tanzania... Polepole alipokuja nchini watu wanasema "Alikuwa mjinga na mpumbavu, kwa yote aliyokuwa anasema halafu yupo Tanzania"
Kwa kweli nashindwa kuwaelewa Watanzania...
Umesema vizuri sana. Humphrey alitenda matendo mabaya sana hasa kushiriki kuanzisha huu ushetani unaoendelea Sasa.Alikiri makosa na aliomba radhi kwa umma.
Yule alitetea ugali wake tu,hakuwa na jipya..alitakiwa akiri maovu yote kuanzia walivyo ua upinzani kwa kununua wabunge wa upinzani..na kuiba kwa kiwango kikubwa uchaguzi wa mitaa mwaka 2019 na ule uchaguzi mkuu mwaka 2020..Hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakuongolea kitu kipya nje ya yaliyokuwa kwenye habari.
Yule alitetea ugali wake tu,hakuwa na jipya..alitakiwa akiri maovu yote kuanzia walivyo ua upinzani kwa kununua wabunge wa upinzani..na kuiba kwa kiwango kikubwa uchaguzi wa mitaa mwaka 2019 na ule uchaguzi mkuu mwaka 2020..Hakuongelea mabaya ya Magufuli. Hakuongolea kitu kipya nje ya yaliyokuwa kwenye habari.
mkuu kauli hii uliyotumia kwa polepole, unaiona hivohivo kwa waandamanaji?Alichokifanya ulikuwa ni ujinga Huwezi kushindana na adui Yako mwenye nguvu Pasipo kujipanga na kuwa na mbinu Bora za kumshinda adui huyo
haya mambo yanachezwa kitaalamu sana.Inasikitisha sana mwanadiplomasia kupotezwa na hakuna anayehoji kuanzia Serikali aliyoitumikia mpaka chama chake