Nimekuja kushukuru JF

Bikra nani hajawahi vunja
Kuna age mwanaume ukiivuka.
Kukutana tena na bikra ni ngumu.

Bikra ni miaka 16-25 hivi.

Kwa wale wanaume waliojidai walokole au waliowahi kujichulia sheria mkonon mapema na kuwa madomo zege. Weng hawajawah kukutana na bikra.

Mm nilikuwa mtundu. Form two tayar nina mpenz. Eti nishapanga na kumuoa kabisa 😊😊😊. Nilivyomaliza form four Mdada wa watu kanitunuku akijua ntakuja kuwa mume wake.
Sasahivi ni mke wa mtu huko.
Dah
 
Ok.
 
hapo umesema kweli ila sio member wa if wote hakuna bilra hata huyu Bikra unayo anauliza kama unayo huoni ni jambo gumu.

ila umesema kweli wamekuunganisha na vibinti vya after school bash
 
Ahahahahaha! Hapa kuna mtu anatafutwa kuingizwa "kingi"! Ahahahahaha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…