Nimekuja kugundua kuwa Mke haandaliwi anakuja kama bahati

Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu kwa kupata mke mwenye chura, hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu picha ya wife ziwezi weka humu Ila kijijini kuna wanawake wana asili ya Umbo Zuri na chura ya kutosha Ila kutokana na kuishi maisha magumu na kufanya kazi ngumu inapelekea kupoteza asili Yao au mwonekano mzuri.
Wife nilimuoa akiwa kawaida Sana Ila baada ya kuishi nae mwaka mmoja tu aisee alibadilika na kuwa mrembo Sana kwenye macho yangu. Huwa nikimuweka dogo style naona kama dunia yote ni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maelezo ungeyatoa kabla sijaoa mkuu, sasahivi ni ubatili tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha yake tafadhali ili tusibitishe hilo umbo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu picha ya wife ziwezi weka humu Ila kijijini kuna wanawake wana asili ya Umbo Zuri na chura ya kutosha Ila kutokana na kuishi maisha magumu na kufanya kazi ngumu inapelekea kupoteza asili Yao au mwonekano mzuri.
Wife nilimuoa akiwa kawaida Sana Ila baada ya kuishi nae mwaka mmoja tu aisee alibadilika na kuwa mrembo Sana kwenye macho yangu. Huwa nikimuweka dogo style naona kama dunia yote ni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha et dogy style....ila hongera furahia maisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wake bora / waume bora wapo
ila tunapishana kwenye mikato
Ndio maana unaambiwa kila mtu atampata wa kufanana nae, mume au mke mwema kama hufanani nae hawezi kuwa mwema
utatafuta mpaka Mwisho wa Dunia
I see, wewe tunafanana kabisa!
 
Kwamba mkeo unahadidhia namna gani huna unampiga dog style?? Hizi ndoa jaman Mungu asaidie tu!

Kuna ndoa moja,niliwahi pata kusuruhisha japo yalinishinda,jamaa nae alikua anasema mke wake akimweka dog style hua anajampa sana! Wife akasikia maneno ya jamaa, na ilikua case hadi ndoa kutaka kuvunjika

Sent using Jamii Forums mobile app
..😂😂😂... ndoa za kidigitali hizi..teh teh teh 😃 😃😃 kazi kweli kweli.
 
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wee untangaza wife ana chura watu watamgegeda kijana shauri yako
 
Mi yangu miaka miwili unusu tu, chali. Tena kwa influence ya wazazi wake.Mwanamke ana kibri na dharau utafikiri mdogo ake shetani na hii yote anajua hata akiondoka home kwao watampokea mikono miwili. Da yani nikifikiria sipati picha kabisa. Hapa nazidi kuhesabiwa tu watoto nje ya ndoa. Sijui ntampata mwanamke gani atakae kuwa tayari kunilelea wanangu hawa wawili kwa roho ya upendo kabisa kama wanae huku tukitafuta wengine wa kujazilizia jazilizia.

Ila nilichojifunza malezi yana impact kubwa sana hasa kwa mtoto wakike kudumu au kutodumu kwenye ndoa
Daa pole sana, nikweli malezi huchangia pakubwa kushindwa kuimudu ndoa, ila si kwa wanawake pekeyake na wanaume pia akikosa malezi anakuwa pasua kichwa, pia omba Mungu utampata t mwenye mapenzi ya kweli atakulelea hao watoto wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba mkeo unahadidhia namna gani huna unampiga dog style?? Hizi ndoa jaman Mungu asaidie tu!

Kuna ndoa moja,niliwahi pata kusuruhisha japo yalinishinda,jamaa nae alikua anasema mke wake akimweka dog style hua anajampa sana! Wife akasikia maneno ya jamaa, na ilikua case hadi ndoa kutaka kuvunjika

Sent using Jamii Forums mobile app
Mume asiye na busara. Mambo ya ndoa ni siri ya wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera aisee, mshukuru mungu kwa hiyo bahati..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom