Nimekuja kugundua kuwa Mke haandaliwi anakuja kama bahati

Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hana rafiki? Kama anaye naomba uniunganishe naye,na je ulimpata kutoka kijiji gani nikapime zari na mimi?inaonekana huko ni mpeto tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwani yupo smart ?
 
Mkuu picha ya wife ziwezi weka humu Ila kijijini kuna wanawake wana asili ya Umbo Zuri na chura ya kutosha Ila kutokana na kuishi maisha magumu na kufanya kazi ngumu inapelekea kupoteza asili Yao au mwonekano mzuri.
Wife nilimuoa akiwa kawaida Sana Ila baada ya kuishi nae mwaka mmoja tu aisee alibadilika na kuwa mrembo Sana kwenye macho yangu. Huwa nikimuweka dogo style naona kama dunia yote ni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa unakula nchi sana! Angalia wahuni sio watu lakini 🤣🤣🤣
 
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye chura hapo sasa... nimepapenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kichwa cha habari kipo sahihi. sometimes dunia inavitu vingi. Sasa hata kma unampenzi wako unampenda vp siku ukikutananaye ambae ni wakwako moyo unarudisha mpira kwa kipa kwamba tuanze moja
 
Binafsi nakumbuka kabla ya kuoa, dogo alipangiwa Chuo fulani hapa dar baada ya kuripoti Chuo akaja gheto siku moja akiwa na rafiki yake, wakapika misoso mizuri wakala.
Then dogo akaniambia bro kwa nini usioe? Kama hela ya kula unapata.

Nikamwambia nikipata mwanamke wife material naoa.
Dogo akasema yupo dada mmoja home( kijijini kwetu) ana sifa zote za kuwa mke wako nilisoma nae.
Nikamwambia dogo unamfahamu vizuri mienendoyake ya maisha yake.

Dogo kuniambia bro yule dada anajielewa na anajuhudi za kutafuta maisha lakin pia ni pin balaa Umbo kama loteeee.
Akanipa namba yake nikaanza sound, nikaenda home tukaonana nae na mahusiano yakaanzia hapo hadi kumuoa na kufunga ndoa ndani ya mwaka mmoja

Kwakweli tangu nimuoe nafurahia maisha Sana, na sijawahi kujutia hata kidogo na anaheshima Sana kwangu kama mme wake pamoja na uzuri wake, Umbo kali na chura ya maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Saf binamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba mkeo unahadidhia namna gani huna unampiga dog style?? Hizi ndoa jaman Mungu asaidie tu!

Kuna ndoa moja,niliwahi pata kusuruhisha japo yalinishinda,jamaa nae alikua anasema mke wake akimweka dog style hua anajampa sana! Wife akasikia maneno ya jamaa, na ilikua case hadi ndoa kutaka kuvunjika

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu ndugu yangu, Mungu awasaidie kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom