Jing chu
JF-Expert Member
- May 9, 2019
- 385
- 592
Habari wana jamvi?
Ni kawaida kusikia watu wanatafuta KE wa kuoa au wanawake wanatafuta ME wa kuwaoa.
Nilicho experience mwenyewe katika safari yangu ya kutafuta mke kama walivyo wenzangu ambao hamjaoa, nimegundua MKE anatokea kama bahati na hasa mwanaume ukiwa serious na makini sana bila papala wala haraka za kuoa.
Nimewahi kutafuta humu JF lakini huku kote ni showoff tu na kupunguzia stress za maisha ijapo kama wapo waliopata basi hongera kwao
Sijui wengine mna uzoefu gani kuhusu hili.