donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,130
How romantic!!!:smile-big:Nikiusikia nakumbuka Siku ya harusi yangu......then ndio mziki ambao huimba kwenye simu ya my mume nkimcall...
How romantic!!!:smile-big:
Nikiusikia nakumbuka Siku ya harusi yangu......then ndio mziki ambao huimba kwenye simu ya my mume nkimcall...
Daah...nakumbuka siku za wali na nyama Iyunga Technical miaka hiyo!
Salaam za wakti kama huu,
Niambie mwana MMU ukiusikia wimbo huu unakumbuka wapi? I know some of y'all mtakumbuka your wedding day (obviously it was a wedding-hit song back in days up to know). Mimi kwa kweli wimbo huu unanikumbusha the first time ever nakutana na miss chagga.........
Haahaha, mkuu si Ndanda tulikua tunaita Nyali!
Weka sawa hapo ieleweke...
Huyu Miss Chagga amekeketwa hana hisia ni sawa na kumpigia mbuzi Gitaa... Alishaolewa na akaachika mara sita
Zamu ya wali na nyama hata wagonjwa wa special meal walikuwa wanapona ila siku za ugali ndo ugonjwa unakuwa juu...
Tuliiba sana ndizi sukari kwenye mashamba ya iwambi! ...daah machozi yanaanza kunilenga lenga hapa nikikumbuka Desemba 3, 2000 saa 5.20 asubuhi polisi walipomuua komredi Michael Sikupya R.I.P bro! Ulikuwa na ndoto nyingi kimaisha!
Mh...like what Himidini?
You meant me having the pleasure of being loved?it depends on the circumstances!!!or what did you mean?^^
The pleasure of loving someone special for you
^^