NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,291
- 14,573
Hahaha mkuu mi simoItakuwa miss chaga huyo
Ilikuwa imechakaa mkuuwa bongo kwa kukosa Continuity kwenye story zetu tunaongoza Sasa ushindwe kuona Aina ya Cm anayotumia lkn uweze kuona Id name Aah we Saluti kwa ku Zoom[emoji119][emoji119]
HahahahaH we mchocheziAlikuwa amevaa yeboyebo! nishamjua huyo atakuwa wale ku make money from kaskazini tu,aache ubahili basi viatu hata buku vipo siku hizi...
Atakuja mwenyewe kuthibitisha mkuuSi umtaje tu kwani unamwogopa, aishiiii.
Mh ilikuwa ishu kidogo mkuuungempiga picha mkuu sa maneno matupu tutakuaminije?
Ngoja tumsubiriAtakuja mwenyewe kuthibitisha mkuu
Leo umeifanya siku yangu imalizike Poa kabisaHabari za kazi wakuu kama mnavyoona ona Hapo juu kichwa cha Habari kinavyojieleza. Leo nimebahatika kumuona laivu mdada maarufu Sana humu jamii forum.
Huyu dada ni machachali Sana na ni mtu maarufu Sana na Vijana wengi huwa wanamfuata pm nikiwepo na Mimi mmoja wapo nilisha Wahi kumfuata pm lakini hata kujibu meseji yangu hakujibu kabisa.
Leo Nilipenda gari kutokea gongolamboto hilo gari lilikuwa linaelekea feli hukooooooo kivukoni.
Nilikaa na binti mmoja kajifunga kitambaa kichwani ni cha rangi ya kijani kajitanda Kanga na chini alikuwa amevaa yebo yebo na alikuwa amepakata ndoo Kutokana ilikuwa ni asubuhi Sana ni dhahir alikuwa anawahi Samaki feli.
Alitoa smartfone yake sijui ni aina gani Dah dikuweza kuitambua kabisa maana ilikuwa imechoka Sana Inaonekana imepata dhoruba za kutosha.
Mara ulimuona anaingia kwenye program ya jamii forum Hiyo ilinishitua kidogo kuona yule dadA anaingia jf.
Nilikuwa attention Sana mara akaingia upande wa pm ilionekana Anasoma meseji zake Hapo ndipo nilipogundua yeye ni nan baada ya kufanikiwa kuona id yake Kipindi anajibu meseji.
Kwanza Nina furaha Sana Huyo niliemuona jina lake linaanzia na MISS.
dah kumbe ni mtu WA kawaida tu na ni msaka tonge hapa mjini Asante Sana mungu endelea kunionyesha na wengine maana huwa wananitukana PM.
Kama na Ww Ulishawah kumuona mwana jamii yeyote katika mazingira yeyote funguka.
Nawasilisha hoja.
Kwa nini mkuuLeo umeifanya siku yangu imalizike Poa kabisa
Mimi najiskia furaha mbona kumuona mwana jamii mwenzanguNdio huo tunaouita umbea, hivi mwanaume unaanzaje kukodolea simu ya mdada macho mpaka ujue kaingia hapa kaenda hapa.
Mmmhhh ungemfuata Pm akupe ruhusa yake. We unadhani anajisikiaje huko aliko?
Ili ufurahi na wenzio ulitakiwa umpige japo kapicha mkuu. Mana naivuta picha ila inagoma kuja.Mimi najiskia furaha mbona kumuona mwana jamii mwenzangu
Ndio hivo anajikuta ana furaha ya peke yake.ungempiga picha mkuu sa maneno matupu tutakuaminije?
Hapo kwani kuna tatizo Mimi nimefurahi mkuu Hapo nimejaribu kumuelezea Au kuna ubaya kueleza mkuuSi mnataka wanawake wataftaji??
Au huo sio utafutaji.??
Tatizo ni nini??
Kuvaa yebo??
Au kufunga kitambaa cha kijani??
Au tatizo ni simu iliyo chakaa??
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nini tatizo??