NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,571
- 13,399
Habari za kazi wakuu kama mnavyoona ona Hapo juu kichwa cha Habari kinavyojieleza. Leo nimebahatika kumuona laivu mdada maarufu Sana humu jamii forum.
Huyu dada ni machachali Sana na ni mtu maarufu Sana na Vijana wengi huwa wanamfuata pm nikiwepo na Mimi mmoja wapo nilisha Wahi kumfuata pm lakini hata kujibu meseji yangu hakujibu kabisa.
Leo Nilipenda gari kutokea gongolamboto hilo gari lilikuwa linaelekea feli hukooooooo kivukoni.
Nilikaa na binti mmoja kajifunga kitambaa kichwani ni cha rangi ya kijani kajitanda Kanga na chini alikuwa amevaa yebo yebo na alikuwa amepakata ndoo Kutokana ilikuwa ni asubuhi Sana ni dhahir alikuwa anawahi Samaki feli.
Alitoa smartfone yake sijui ni aina gani Dah dikuweza kuitambua kabisa maana ilikuwa imechoka Sana Inaonekana imepata dhoruba za kutosha.
Mara ulimuona anaingia kwenye program ya jamii forum Hiyo ilinishitua kidogo kuona yule dadA anaingia jf.
Nilikuwa attention Sana mara akaingia upande wa pm ilionekana Anasoma meseji zake Hapo ndipo nilipogundua yeye ni nan baada ya kufanikiwa kuona id yake Kipindi anajibu meseji.
Kwanza Nina furaha Sana Huyo niliemuona jina lake linaanzia na MISS.
dah kumbe ni mtu WA kawaida tu na ni msaka tonge hapa mjini Asante Sana mungu endelea kunionyesha na wengine maana huwa wananitukana PM.
Kama na Ww Ulishawah kumuona mwana jamii yeyote katika mazingira yeyote funguka.
Nawasilisha hoja.