Bukama Batoko
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 820
- 137
Tatz uelewa wake mdogo sana...
Ndg yangu uking'ang'ania kutafuna ubao wa mpingo kwa meno yako, utaumia meno, mdomo na muda wako. Achana na wenye mataizo ya kuelewa watakuchosha buuuuree! Waaay!