Nimekosea wapi

Nimekosea wapi

Acha upuuzi hebu jiongeze MPE kipochi atulize jazba
Niliwahi kuandika uzi wangu wa kutafuta mwenza humu ndani, katika wengi waliokuja nikabahatika kupata kijana mmoja aliyeukuna moyo wangu,nikaona nijaribu mahusiano naye sikutaka kujiachia mazima tangu nimemkubali ni wiki tatu zimepita na bado hajaweka fedha zake kwenye pochi yangu (sex) amekuwa akinionesha upendo wa hali ya juu, hana elimu kabisa ila ni mfanyabiashara aliyefanikiwa, imekuwa ni kawaida kunifuata kazini kila ambapo nikimwambia aje na kunipeleka nyumbani,neno langu limekuwa sheria kwake, sasa tatizo ni hili wiki iliyopita akaniomba anifundishe kuendesha gari ili nikiweza anipe moja nitumie kati ya machache anayomiliki. Mwanafunzi Mimi nimekuwa muoga kuingia barabarani kibaya zaidi niliparamia ukuta na gari ikabonyea akanifokea sana kiukweli iliniuma kufokewa naye kwani mpaka alinitolea tusi, ndani ya gari ukapigwa wimbo wa sisi tunakula bata wa Jay mo, nikamuomba autoe akataka kujua kwanini nikamwambia simpendi Jay mo tumegombana, akataka kujua sababu sikumwambia basi hapo ndipo tatizo likaanza amenuna hataki kuongea na mimi Sasa Wakuu sielewi nimekosea wapi kwenye kugonga gari au kukataa kumwambia ugomvi wangu na Jay moo ni nini!!! Nakosa raha yaani mahusiano yangu mapya yavunjike ndani ya wiki tatu sina rahaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa utaisubiri sanaaaa!..

Kaulize bei ya hyo gari..ukifika bei mnunulie nyingine! Ukishindwa kaitengeneze hyo!!

Bei ya matengenezo ikikusinda kaombe masamaha yaishe!?!!

ILA KWA MM SINTAKUSAMEHE!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepata mtombaji hapo na sio muoaji
Niliwahi kuandika uzi wangu wa kutafuta mwenza humu ndani, katika wengi waliokuja nikabahatika kupata kijana mmoja aliyeukuna moyo wangu,nikaona nijaribu mahusiano naye sikutaka kujiachia mazima tangu nimemkubali ni wiki tatu zimepita na bado hajaweka fedha zake kwenye pochi yangu (sex) amekuwa akinionesha upendo wa hali ya juu, hana elimu kabisa ila ni mfanyabiashara aliyefanikiwa, imekuwa ni kawaida kunifuata kazini kila ambapo nikimwambia aje na kunipeleka nyumbani,neno langu limekuwa sheria kwake, sasa tatizo ni hili wiki iliyopita akaniomba anifundishe kuendesha gari ili nikiweza anipe moja nitumie kati ya machache anayomiliki. Mwanafunzi Mimi nimekuwa muoga kuingia barabarani kibaya zaidi niliparamia ukuta na gari ikabonyea akanifokea sana kiukweli iliniuma kufokewa naye kwani mpaka alinitolea tusi, ndani ya gari ukapigwa wimbo wa sisi tunakula bata wa Jay mo, nikamuomba autoe akataka kujua kwanini nikamwambia simpendi Jay mo tumegombana, akataka kujua sababu sikumwambia basi hapo ndipo tatizo likaanza amenuna hataki kuongea na mimi Sasa Wakuu sielewi nimekosea wapi kwenye kugonga gari au kukataa kumwambia ugomvi wangu na Jay moo ni nini!!! Nakosa raha yaani mahusiano yangu mapya yavunjike ndani ya wiki tatu sina rahaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujachelewa leta uzi Mwingine wa kumtafuta mchumba utampata tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom