Nimekosea wapi

Nimekosea wapi

Muda wote huo anasubiri nini kuweka hela zake kwenye porch yako anasubria ufungue bank account au?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
wiki tatu hajakuomba nyapu, arafu akufundishe na kukupatia gari. Na wakati huo mmejuana mtandaoni..asee hii chai umetia chumvi mno,

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni ukweli mtupu na kuruhusu Kama upo Dar kesho asubuhi nenda magomeni kota utaona jinsi alivyonichorea barabara na kunipangia mawe ili niweze kunyoosha gari


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dawa yake ndogo sana, we mtafute kwenye angle yenye mtakuwa wawili tu kisha mfunulie skirt yako kwa haraka sana ile shaaaaap! na kuifunika kama kawaida. Kakikisha anakiona kyupi ulichokivaa na usivae tight atalegea kama mlenda vile. Usimsemeshe neno baada ya hapo ondoka zako mbona atakutafuta mwenyeweeee
 
Niliwahi kuandika uzi wangu wa kutafuta mwenza humu ndani, katika wengi waliokuja nikabahatika kupata kijana mmoja aliyeukuna moyo wangu,nikaona nijaribu mahusiano naye sikutaka kujiachia mazima tangu nimemkubali ni wiki tatu zimepita na bado hajaweka fedha zake kwenye pochi yangu (sex) amekuwa akinionesha upendo wa hali ya juu, hana elimu kabisa ila ni mfanyabiashara aliyefanikiwa, imekuwa ni kawaida kunifuata kazini kila ambapo nikimwambia aje na kunipeleka nyumbani,neno langu limekuwa sheria kwake, sasa tatizo ni hili wiki iliyopita akaniomba anifundishe kuendesha gari ili nikiweza anipe moja nitumie kati ya machache anayomiliki. Mwanafunzi Mimi nimekuwa muoga kuingia barabarani kibaya zaidi niliparamia ukuta na gari ikabonyea akanifokea sana kiukweli iliniuma kufokewa naye kwani mpaka alinitolea tusi, ndani ya gari ukapigwa wimbo wa sisi tunakula bata wa Jay mo, nikamuomba autoe akataka kujua kwanini nikamwambia simpendi Jay mo tumegombana, akataka kujua sababu sikumwambia basi hapo ndipo tatizo likaanza amenuna hataki kuongea na mimi Sasa Wakuu sielewi nimekosea wapi kwenye kugonga gari au kukataa kumwambia ugomvi wangu na Jay moo ni nini!!! Nakosa raha yaani mahusiano yangu mapya yavunjike ndani ya wiki tatu sina rahaa kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
Shairi la stori yako linahitaji nn? Vijana mnajua kucheza na akili za wasomaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kutosema usiyotaka kuelezea..

Picha aliyopata ni mlinaniiiiiiiii..

Ila ilikuwa lazima utuambie umempatia humu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom