Nimekosea Wapi?

atapata bandindu utaingia lawama zisizo na maana,,.. kama ni culture ndugu kuoana mwache awe huru muhimu ni kuishi kwa amani unafikri unatatua ila itawaletea tabu
 
Sababu zako hazina mashiko..mwache dogo aolewe. Ningeona umeongea point kama dogo mwenyewe angekua kuolewa na huyo shemeji yako au lingekua ni jambo jipya katika familia
 
Furaha yake ndio jambo la kwanza kwenye maisha yangu,ila sikubaliani na hii mambo yakuoana familia moja,mwisho wa siku mnazaa ma zezeta,ugomvi wa familia nimeyaona mengi na ndio mana staki na yeye yamkute..
Mnazaa mazezeta? Inamaana mazezeta wote sababu ni hiyo? Mkuu rudi kwenye imani yenu ya kidini kama inaruhusu waache waoane?
 
atapata bandindu utaingia lawama zisizo na maana,,.. kama ni culture ndugu kuoana mwache awe huru muhimu ni kuishi kwa amani unafikri unatatua ila itawaletea tabu
Sio rahisi mtu kunielewa kwenye hili kirahisi..
 
Sababu zako hazina mashiko..mwache dogo aolewe. Ningeona umeongea point kama dogo mwenyewe angekua kuolewa na huyo shemeji yako au lingekua ni jambo jipya katika familia
Nakuelewa unavyosema kama nilivyo waelewa wengine nyumbani,ila kwangu ntachukulia kama changamoto za maisha,na pia niseme ahsante napata kujua zaidi thinking capacity za familia yangu na za wenzangu kama zinafanana..
 
wewe unasema hofu yako ni kuwa watoto wenu watakuja kuoana, KIVIPI???? kwani na hao waume zenu watakuwa na misimamo kama ya familia yenu yani kuoana ndugu
 
wewe unasema hofu yako ni kuwa watoto wenu watakuja kuoana, KIVIPI???? kwani na hao waume zenu watakuwa na misimamo kama ya familia yenu yani kuoana ndugu
Mkuu familia ya mume wangu abae ameoa nje ya ukoo wao ni mume wangu dada yake mume wangu na huyu shemeji anaetaka ila walobakia 9 wote kama sisi,sasa hofu yangu huyu mdogo wangu mimi baba mmoja mama mmoja,mume wangu na mdogo wake baba mmoja mama mmoja ebu nambie huo mparaganyo,sisemu itakua hivyo ila uwezekano upo sababau ndio kawaida kwetu ila kwa watoto wangu na huyu mdogo wangu i need to change that inshallah niweze..
 
hapo kweli pagumu, shikilia msimamo wako
 
Inacoat furaha yake kivip? Yy mwenyewe kasema hataki au ulienda direct kua hupend hiyo ndoa ifanyike? Acha izo kma vip mwache yy aamue usiwe kikwazo

Wenzio wanaweka mpira kati ww wabutua nje
laitani ungejua athari zake..
 
Yaani apo unachofanya unatia petrol kweny moto,

We subiri uwake tu, utasikia mdogo wako ana mimba sijui utajiua ao ni watu wazima awachaguliwi cha kufanya, we wabariki,.. 25 minutes too late
Mwenyezi mungu ata mnusuru kama alivyo tunusuru sisi dada zake, Alhamdulillah hakunaalie olewa na mimba kwentu wala alie aibisha familia mpaka sasa na Inshallah watoto wetu wawe hivyo hivyo....
 
Mkuu vipi huyo shemeji yako ameshamla huyo mdogo wako? kama ameshamla unazuia nini wakati wanajuana utupu? kwa kuwa ninachooamini ni kwamba walishakuwa karibu na hii idea atakuwa ameshamwambia tayari na walisharijadili na ndiyo maana limekuwa mezani mwako...
 
Hawa ni wahidi nimeanglia Avator ya huyu mdada hii ni tabia ya Wahindi... Hata wachaga hawafanyi huo Ujinga na kuosma kwao koote .. Hakuna kabila yenye huo ujinga kama siyo ile Kabila ya Watanzania wenye asili ya Kieshia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…