Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help-shukrani kwa wanajamii

Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help-shukrani kwa wanajamii

Hujapata mtu wa kukutongoza toka hapo?
 
huelewi nini? watu kibao wameachana na wake zao wakaoa tenambona mandela alioa mkewe alikuwa amekufa?talaka huwa ni za nini

Usiwe mkali, mwisho wa siku ni maisha yako na maumivu yako ya moyo. Si umesema kakuambia wao wakristo hawawezi achana? Ila take it from me, mume wa mtu ama mke wa mtu akimponda mwenzie wakati anafukuzia, usisikilize hata neno moko. Kila la kheri mwaya.
 
Back
Top Bottom