Nimekosa mwanaume 'serious'

Nimekosa mwanaume 'serious'

..Kitu ambacho watu hawaelewi ni kwamba huwezi kupata mtu mwenye 1oo% sifa unazozitaka kwaio inakuwa matter ya probability akiwa na sifa unazotaka zaidi ya nusu he is worth a catch,usipoelewa hili utalia na kusaga meno huku ukisoma namba mwaka huu na mingine Ijayo Hakika
 
Kama hutajali, weka wasifu wako hapa ikiwezekana na kapicha kama hutajali. Uone hizo PM zitakavyojaa.
 
Kama hutajali, weka wasifu wako hapa ikiwezekana na kapicha kama hutajali. Uone hizo PM zitakavyojaa.
 
U don't get what u want u just get what u deserve.nobody is perfect so when opportunity comes take it
 
Ninaowapenda siwezi kuwatongoza, wanaonitongoza siwataki hawana sifa nazotaka, nabaki nalia na upweke.
Pole sana, mchagua Nazi......;ila jua umri unazidi kwenda kwa kuendekeza kuchagua sana. Kwa 35 KE bado hujaolewa means atakayekuoa kuanzia 35-45 sasa hao si waume za watu au wagane?, kumbuka hakuna mwanaume aliyekamilika ambaye utampata ila mambo mengine mtarekebishana taratibu kwenye ndoa cause I'm sure na ww una mapungufu vilevile kama binadam wengine. Kwa hiyo uamuzi ni wako chukua hatua kabla mambo hayajaenda kombo vinginevyo u- single utakuhusu muda si mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom