Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

ngoja kwanza wakose na second around akili iwakae kwa kichwa
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph
Nimepata alama kama zako PCB na nimeapply bachelor of pharmarcy na nimepata kwahiyo kama una mpango wa kuapply omba Mungu akusaidie na utapata
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph
Iv iyo kampala hasikiii kama imefungwa kudahili MD na phamarcy ama kibur
 
St. Joseph amefungiwa. kwani hicho kitabu cha TCU hujakisoma?
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph
mm nimepata CCD na nimeomba kama ww kwa mantiki hiyo ushindani nimkubwa na kuna ninaowafaham kama kumi ivi wamejaza ivoivo cha msingi apo tupia na education moja manake ya mungu mengi....

ni hayotuu....
 
We umetupia[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom