Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

jee kwa ambae nna CCD nimejaza kama uyo jamaa nitapata kweli au nisubir round ya 3[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sa hv kuchanganya kuna watu wenye 9 waliotemwa MUHAS UD KCMC wameapply sana afya zilizobaki af capacity ndogo zilizobaki nasubir web ifunguke nifute courses za afya
Sa hv Kampala pamekuwa patamu
 
Nimekosa first round nina DCE kwa PCB
Je, kwa hapa nitapata?
1. MD-Kampala
2. Pharmacy-Kampala
3. MD-St Joseph

Kwa Ufaulu Huo Mzuri Kama Ungelikuja Hapa JF Kutaka Ushauri Kabla Ya Kufanya Udahili, Wallahi Ungepata Chuo! Lakini Kwa Sasa Kwa Nilivyoviona Vijiti Vya Point 9 vya PCB vilivokosa 1st Round!! Mkuu Jiandae Kisaikolojia Kuwa Mwalimu.
 
Kwaiyo guide book inadanganya
Kabla ya kuniuliza kwamba guide book inadanganya au la,nami nikuulize wewe;

Je umesoma guide book ya mwaka wa masomo 2016/2017 na kuielewa?.
 
Kabla ya kuniuliza kwamba guide book inadanganya au la,nami nikuulize wewe;

Je umesoma guide book ya mwaka wa masomo 2016/2017 na kuielewa?.
Swali juu ya swali
 
Swali juu ya swali
Nna uhakika hujaisoma guide book.

Na kama umeisoma basi hukuilewa.

Na kama umeilewa,basi upo hapa kuwajaza hofu zisizo na mpango vijana.
 
Back
Top Bottom