Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

Nimekosa First Round, kwa nilivochagua hapa nitapata second round?

Je na hivi mkuu 1.st.john dodoma 2.Kampala 3.teofilo kisanji 4.st.john dar 5.eckenforde bachelor of arts with education division two 12 DCE hkl
Utapata ila ingependeza cha kwanza kingekuwa teku na hvyo vngne vifuate cz maisha ya mb yako cheap compare to others
 
Nilichange mkuu nliondoa kampala ikawa hivi st.john dodoma,teku dar,eckernforde,teku mbeya na st.john dar
teku ndo chuo cha kwanza kufanya udahili so hat uweke cha mwisho wanakuchagua kwa hyo jiandae kwenda teku
 
teku ndo chuo cha kwanza kufanya udahili so hat uweke cha mwisho wanakuchagua kwa hyo jiandae kwenda teku
Sawa mkuu lakini remaining capacity take ni 150 na mimi nina division two 12 DCE
 
Back
Top Bottom